Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Baadhi ya nyota ambao Manchester United wanaweza kuwakosa kwenye mchezo wa marudiano ni Marcus Rashford, Luke Shaw, Lisandro Martinez na Raphaël Varane hawa wote ni majeruhi.
Hali hiyo inampa wakati mgumu Kocha Ten Hag katika harakati za kutafuta Ubingwa wake wa kwanza wa Ulaya akiwa na Man United.
Post a Comment