Man United waichapa Aston Villa Old Trafford

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Bao pekee la Bruno Fernandes dakika ya 39 limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya Aston Villa leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester na kujiongezea matumaini ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao. 


Ushindi unaifanya Manchester United ifikishe pointi 63 katika mchezo wa 32, ingawa wanabaki nafasi ya nne wakizidiwa pointi mbili na Newcastle United ambayo pia imecheza mechi moja zaidi, wakati Aston Villa inabaki na pointi 54 za mechi 34 nafasi ya sita.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post