Makocha 13 watimuliwa EPL mpaka sasa

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mpaka sasa ni Jumla ya Makocha 13 ambao wamefutwa kazi kwenye Ligi Kuu ya England msimu huu hadi sasa 2022-2023.


Timu ya Tottenham, Chelsea, Southampton zimeshatimua Makocha wawili ndani ya msimu huu pekee.


Scott Parker - Bournemouth


Thomas Tuchel - Chelsea


Steven Gerrard - Aston Villa


Frank Lampard - Everton


Jesse Marsch - Leeds United


Bruno Lage - Wolves


Ralph Hasenhuttl - Southampton


Nathan Jones - Southampton


Patrick Vieira - Crystal Palace


Antonio Conte - Tottenham


Brendan Rodgers - Leicester City


Graham Potter - Chelsea


Christian Stellini. - Tottenham.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post