LIVE: SIMBA VS WYDAD ATHLETIC Itazame Hapa buree


 Siku imewadia! Ni mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya Simba dhidi ya Wydad Athletic


Ni katika uwanja wa Benjamin Mkapa mchezo huo utapigwa majira ya saa 10 jioni


Mechi muhimu kwa Simba kushinda ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga nusu fainali


Katika miaka mitano iliyopita, Simba imecheza robo fainali mashindano ya CAF mara nne, lakini wakati huu dhamira ya Wanamsimbazi ni kuvuka hatua ya robo fainali


Utakuwa mchezo mgumu dhidi ya timu bora ya Wydady, ambao ni mabingwa watetezi wa michuano hiyo lakini hakuna lisilowezekana kwenye mpira wa miguu


Ikiwa ni sikukuu ya Eid, ushindi utanogesha shamrashamra za ndugu zetu Waislam ambao wanasherehekea sikukuu hii baada ya kumaliza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan

Mechi Itakuwa LIVE kwenye App yetu BUREE bofya hapa kuidownload kutoka Play store buree kabisa

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post