Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kapombe na Kibu walishindwa kumaliza dakika zote tisini katika mchezo uliopigwa huko Morocco usiku wa kuamkia Jumamosi na Simba kupoteza kwa mabao 3-1
Hata hivyo Daktari wa Simba Edwin Kagalo amewatoa hofu Wanamsimbazi kuwa uchunguzi wa awali wa majeraha ya Kapombe hayakuonekana kuwa makubwa hivyo beki huyo mahiri wa upande wa kulia anaweza kupewa mapumziko ya siku chache
Nyota mwingine ambaye atafanyiwa vipimo ni winga Peter Banda aliyepata majeraha wakati akiwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa
Msimu huu haukuwa mzuri kwa Banda kwani majeraha yamekuwa changamoto kubwa kwake
Post a Comment