Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Goli la kwanza alilofunga Mshambuliaji wa Yanga SC, Fiston Mayele kwenye mchezo dhidi ya Rivers United limechaguliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) kuwa ndilo bora la wiki kati ya magoli yote yaliyofungwa mechi za raundi ya kwanza robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Kwenye mchezo huo, Mayele aliweka kambani magoli mawili ambapo la kwanza ndilo lililoshinda. Goli hilo alipokea asist kutoka kwa Kapteni Bakari Mwamnyeto kama ilivyokuwa kwa goli la pili.
Post a Comment