Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mechi ya nne ya El Clasico 2023 inapigwa leo Jumatano usiku Barcelona wakiwakaribisha Real Madrid katika mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali ya Copa del Rey
Wacatalunya hao walipata faida ndogo ya 1-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza, bao la kujifunga la Eder Militao
Wababe hao wa soka la Uhispania wamekutana mara tatu msimu huu Barcelona ikishinda mechi zote
Mechi ya mwisho iliyozikutanisha timu hizo ni La Liga Barca ikiibuka na ushindi wa 2-1 katika ardhi ya nyumbani
Kikosi cha Xavi kwa sasa kiko mbele kwa pointi 12 kileleni, na pande zote mbili zinakwenda kwenye mkondo wa pili siku ya Jumatano baada ya ushindi mnono wa ligi
Post a Comment