Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mlinzi kisiki wa Wekundu wa Msimbazi Henock Inonga Bacca na mshambuliaji tishio Jean Baleke wametajwa kwenye orodha ya wachezaji 11 wa kikosi bora cha wiki cha CAF.
Nyota hao walitoa mchango muhimu kwenye ushindi wa 1-0 walioupata Simba SC nyumbani dhidi ya Wydad Casablanca kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa Afrika
Wachezaji wengine wanaounda kikosi hicho wanatoka Al Ahly ya Misri wachezaji wanne, Mamelody wachezaji watatu na Esperance De Tunis ya Tunisia wachezaji wawili.
Post a Comment