Bacca, Mwanyeto na Fiston Mayele ndani ya kikosi Bora Cha Caf

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Walinzi wa kati Ibrahim Bacca na Bakari Nondo Mwamnyeto ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa katika kiwango cha juu katika mechi za mkondo wa kwanza robo fainali ya kombe la Shirikisho la CAF


Mwamnyeto na Bacca walijumuishwa katika kikosi cha wiki cha CAF sambamba na mshambuliaji Fiston Mayele aliyefunga mabao yote mawili ya Yanga


Mwamnyeto alitoa assist zote mbili kwa Mayele ambaye mabao yake yalimfanya aongoze mbio za kuwania ufungaji bora kwenye michuano hiyo akiwa na mabao matano



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post