Arsenal na rekodi mbaya kwa Kevin De Bruyne

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Baada ya juzi Jumatano Man City kuisambaratisha Arsenal mabao 4-1 mchezo wa Ligi Kuu EPL, Kiungo wa Man City Kevin De Bruyne alitupia mabao mawili


Record ya Kevin de Bruyne katika Career yake dhidi ya Arsenal kwenye premier league.


Mechi 14


Ushindi mechi 11


Sare mechi 2


Kupoteza mechi 1


Mabao 6


Pasi za mabao 4


Amefunga mabao 6 dhidi yao katika premier league mengi kuliko aliyofunga dhidi ya timu nyingine yoyote.


Hajapoteza mchezo wowote wa premier league dhidi yao tangu mwaka 2015.


De Bruyne pia sasa mabao 100 ya ligi katika career yake.


Mechi 421


Mabao 100


Mabao 64 (Premier league)


Mabao 23 (Bundesliga)


Mabao 13 (Jupiler pro league)

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post