Ally Salim aongeza mitatu simba

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kipa namba tatu wa Simba, Ally Salim amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu kusalia klabuni hapo hadi 2027 huku akidaiwa kuboreshewa maslahi yake kama njia mojawapo ya kumbakisha kikosini hapo.


Ally Salim ameonekana kufanya vyema katika mechi za hivi karibuni za Simba na kupongezwa na wengi huku akionekana kuziba vyema pengo la Aishi Manula ambae ni majeruhi.


Pambano lililompa sifa zaidi ni dhidi ya Yanga Jumapili iliyopita ambako aliondoka na clean sheet.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post