Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Singida Big Stars leo Machi 20, 2023 imeingia makubaliano na Klabu ya US Monastir ya Tunisia kwa ajili ya kushirikiana masuala mbalimbali ya soka.
Katika makubaliano hayo yaliyowekwa saini jijini Dar es Salaam, yatagusa mambo ya kiutawala ambapo klabu ya Us Monastir watawapa Singida Big Stars uzoefu wa masuala ya uendeshaji, maandalizi ya msimu (Pre-Season) ambapo klabu ya Singida Big Stars itakuwa ikiweka kambi nchini Tunisia.
Makubaliano hayo pia yatagusa wachezaji wa timu kubwa na ile ya U20
US Monastir walikuwa nchini kuchuana na Yanga katika mchezo wa kombe la Shirikisho ambao walichapwa mabao 2-0 hapo jana
Timu hiyo inatarajiwa kuondoka nchini leo
Post a Comment