Samatta Afunguka haya kuelekea mechi ya marudiano na Uganda

 

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Mbwana Samatta baada ya kurejea nchini na wachezaji wenzake wakitokea Misri walikoifunga Uganda 1-0 aliongea na waandishi wa habari na kubwa aliwaambia nini wenzake baada ya ushindi.

“Niliwapongeza kwa ushindi lakini niliwataka wasahau mara moja iwezekanavyo kwa sababu game ya marudiano ni baada ya siku tatu, baada ya kutoka pale niliwaomba wasahau moja kwa moja”>>> Samatta

Tanzania akishinda mchezo wa Jumanne dhidi ya Uganda tena na akapata sare mchezo wake unaofuatia kama ikiwa Algeria atafanikiwa pia kumfunga Niger katika mchezo wa marudiano Taifa Stars watakuwa na alama 8 ambazo zitawapeleka fainali ya AFCON kwa mara ya tatu katika historia.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post