Sakata la Feisal na Yanga kuhitimishwa leo 02 March 2023

Sakata la Feisal na Yanga kuhitimishwa leo 02 March 2023

Sakata la Feisal na Yanga kuhitimishwa leo 02 March 2023

Sakata la Feisal na Yanga kuhitimishwa leo 02 March 2023

Sakata la Feisal na Yanga kuhitimishwa leo 02 March 2023

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), leo Machi 2, 2023 itafanya ‘review’ ya kesi ya Yanga dhidi ya Feisal Salum Abdallah.

Awali shauri hilo lilipaswa kusikilizwa February 26,2023 lakini haikuwezekana kwa sababu Yanga ilikuwa nchini Mali kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Real Bamako.

Kamati hiyo tayari ilishatoa hukumu kwa kuthibitisha Mkataba wa Feisal na Yanga ulikuwa halali na jaribio lake la kuvunja mkataba huo lilikuwa batili kwa sababu halikufuata utaratibu.

Aidha kamati hiyo ilitoa nafasi kwa upande wa Mchezaji kuomba mapitio ya shauri hilo endapo hawakuridhika na maamuzi yaliyotolewa na Kamati hiyo, hivyo leo watasikilizwa tena.

Hukumu itakayotolewa leo itakuwa ya ya mwisho na upande ambao hautaridhika utapaswa kwenda Mamlaka za juu zaidi ambako ni CAS.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

The post Sakata la Feisal na Yanga kuhitimishwa leo 02 March 2023 appeared first on Nijuze Mpya.



from Michezo – Nijuze Mpya https://ift.tt/j8SMIUk
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post