Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Aidha, kampuni ya Africarriers ambayo ni moja ya wafadhili wa klabu ya Simba, wamenunua tiketi 2000 wakati Azim Dewji na wafanyakazi wa kampuni yake wamenunua tiketi 1000
Afisa Habari wa TFF Clifford Mario Ndimbo ametangaza rasmi kuwa tiketi zote za Mzunguuko zimenunuliwa hivyo Watanzania wataruhusiwa kuingia bure
"Eneo la mzunguko tayari limeshajaa, kuanzia saa 6:00 mchana milango itakuwa wazi kwahiyo Mtanzania yoyote popote ulipo kuwahi kwako kufika ndio kuingia kwako. Kwenye eneo la mzunguko, kila mtanzania ana nafasi ya kuingia uwanjani kwakuwa tayari zimeshalipiwa"
"Kama tiketi zingekuwa chache tungetangaza utaratibu wa namna ya kupata lakini kwakuwa tayari zimenunuliwa zote basi milango ipo wazi kwa wote," alisema Ndimbo
Post a Comment