Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Beki wa Simba raia wa Burkina Faso, Mohamed Outtara ameanza mazoezi baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda akisumbuliwa na majeraha
Ouattara hakuwa sehemu ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya uliochezwa Uwanja wa Mkapa na Simba kuibuka na ushindi wa mabao 7-0 na kujihakikishia tiketi ya kucheza robo fainali ya nne ya mashindano ya CAF katika miaka mitano iliyopita
Ouattara ni miongoni mwa wachezaji walioanza mazoezi jana kujiandaa na mchezo wa kukamilisha ratiba ya makundi dhidi ya Raja Casablanca. Mchezo huo utapigwa April 01 huko Morocco
Ouattara na Kennedy Juma huenda wakapata nafasi ya kuanza katika mchezo huo badala ya Hennock Inonga na Joash Onyango
Post a Comment