Mudathir Yahya bado yupo yupo sana Jangwani, Aongeza Mmoja

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Kiwango bora kilichoonyeshwa na kiungo Mudathir Yahya tangu aliposajiliwa na Yanga katika dirisha dogo la usajili msimu huu, kimelipa!


Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mudathir kuongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuwatumikia Wananchi


Klabu ya Yanga imethibitisha kuwa Mudathir ameongeza mwaka mwingine juu ya mkataba wake wa awali


Muda ni mmoja wa wachezaji wanaofanya vizuri katika kikosi cha Kocha Nasreddine Nabi

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post