Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimeibuka kidedea kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Uganda katika mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023
Bao pekee la Stars lilifungwa na Saimon Msuva kwenye dakika ya 68 akimalizia krosi murua kutoka kwa mlinzi wa kulia Dickson Job
Stars ilicheza kwa nidhamu kubwa katika mchezo huo ambao ulipigwa uwanja wa Suez Canal, huko Ismailia, Misri
Ushindi huo umeisogeza Tanzania mpaka nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi F baada ya kufikisha alama nne
Timu hizo zitarudiana tena katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Jumanne, March 28
Post a Comment