Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kikosi cha Simba kiko tayari kwa mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Raja Casablanca
Mchezo huo utapigwa leo Ijumaa saa 4 usiku kwa saa za Morocco ambapo huku Tanzania itakuwa saa saba usiku, Jumamosi
Simba ilikamilisha maandalizi yake ya mwisho usiku wa kuamkia leo tayari kwa mtanange huo wa kulinda heshima tu
Simba na Raja Casablanca tayari zimefuzu robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrik
Post a Comment