Maskini Banda aumia Tena akiitumikia timu ya Taifa


Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA

Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA

Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Akiwa amerejea hivi karibuni kutoka kwenye majeraha ambayo yalimuweka nje kwa takribani miezi mitatu, bado changamoto ya majeraha imeendelea kumuandama winga Peter Banda jana akiumia bega akiwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa


Malawi ilikuwa ugenini kumenyana na Misri katika mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023, Misri wakishinda mabao 2-0


Katika mchezo huo Banda aliingia kwenye kipindi cha pili lakini alilazimika kutoka katika dakika ya 60 baada ya kuumia bega


Msimu huu umekuwa mgumu kwa Banda ambaye muda mwingi ameutumia katika kuuguza majeraha

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post