Mabadiliko ya muda na Uwanja Simba vs African Sports
Klabu ya Simba imethibitisha kuwa mchezo wa raundi ya nne kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya African Sports utapigwa kwenye uwanja wa Uhuru.
Mchezo huo ambao awali ulipangwa kupigwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, umepelekwa Uhuru kutokana na ukarabati unaofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.
Mchezo huo utapigwa Alhamisi ya tarehe 2 Machi kuanzia saa 10:00 jioni.
Simba inahitaji kushinda mchezo huo kwani mshindi wa hatua hiyo anatinga robo Fainali ya michuano hiyo.
Aidha Simba imesema kuwa itautumia Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye michezo ya Klabu Bingwa tu.
- MSIMAMO Kundi D CAF Confederation Cup 2022-2023
- MSIMAMO Kundi C CAF Champions League 2022-2023
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili ya hatua ya 16 Bora Azam Sports Federation Cup 2023
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.
The post Mabadiliko ya muda na Uwanja Simba vs African Sports appeared first on Nijuze Mpya.
from Michezo – Nijuze Mpya https://ift.tt/knPsxce
via IFTTT
Post a Comment