Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Meneja Antonio Conte ameondoka Tottenham Hotspur kwa makubaliano baada ya kuiongoza kwa miezi 16
Conte aliwaita wachezaji wa Spurs 'wabinafsi' na kukosoa utamaduni wa klabu hiyo katika mkutano na waandishi wa habari baada ya kutoka sare ya hivi majuzi dhidi ya Southampton.
Tottenham wako katika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi lakini wako nje ya mashindano yote ya vikombe
Msaidizi wa Conte Cristian Stellini atakua kocha mkuu kwa msimu hadi mwishoni mwa msimu, huku kiungo wa zamani Ryan Mason akiwa Msaidizi wake
"Tumebakiza mechi 10 za Premier League na tunapigana mikononi mwetu kuwania nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa. Sote tunahitaji kuvuta pamoja. Kila mmoja anapaswa kujituma ili kuhakikisha tunamaliza vyema msimu," alisema Daniel Levy
Post a Comment