KIKOSI Cha Yanga vs Tanzania Prisons Leo 03 March 2023
Mechi ya Yanga leo 2023,Kikosi cha Yanga leo 2023,Kikosi cha Yanga leo,Yanga vs Tanzania Prisons live,Kikosi cha Tanzania Prisons 2023,Picha za Kikosi cha Yanga, Kikosi cha Yanga vs Prisons leo,kikosi cha Yanga SC leo vs Prisons,Yanga vs Prison, Kikosi cha Yanga SC dhidi ya Tanzania Prisons Leo.
Tarehe 3 March 2023 kutakuwa na mchezo wa hatua ya 16 Bora Azam Sports Federation Cup kati ya Yanga SC dhidi ya Tanzania Prisons FC.
Mchezo huo utachezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 1:00 Usiku.
Kikosi cha Young Africans Sports Club dhidi ya Tanzania Prisons Football Club leo kitawekwa moja kwa moja hapa kupitia ukurasa huu.
Tembelea ukurasa huu mara kwa mara ili kupata taarifa zote za moja kwa moja kuhusu Yanga vs Prison.
Kupitia Nijuze Habari utaweza kukitazama Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Tanzania Prisons Leo, Yanga SC vs Tanzania Prisons Live Leo.
Kwa sasa, Young Africans Sport Club inashika nafasi ya 1, huku Tanzania Prisons ikishika nafasi ya 14 kwenye Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC.
Mechi ya iliyopita ya Yanga ilikuwa dhidi ya AS Real Bamako katika Kombe la Shirikisho la CAF, ambapo mechi hiyo iliisha kwa sare ya bao 1 – 1.
Tanzania Prisons wao mechi iliyopita ilikuwa dhidi ya Coastal Union kwenye Ligi Kuu ya NBC, ambapo mechi hiyo ilimalizika kwa Prisons kupoteza kwa bao 1 – 0 mbele ya Coastal Union.
Matokeo ya mechi 5 zilizopita za Yanga
04/02/23 NBC Premier League
FT Young Africans 2 – 0 Namungo
12/02/23 CAF Confederation Cup
FT Monastir 2 – 0 Young Africans
19/02/23 CAF Confederation Cup
FT Young Africans 3 – 1 TP Mazembe
22/02/23 NBC Premier League
FT KMC 0 – 1 Young Africans
26/02/23 CAF Confederation Cup
FT Réal Bamako 1 – 1 Young Africans
Matokeo ya mechi 5 zilizopita za Tanzania Prisons
16/01/23 NBC Premier League
FT Azam 3 – 0 Tanzania Prisons
21/01/23 NBC Premier League
FT Tanzania Prisons 1 – 2 Ihefu
03/02/23 NBC Premier League
FT Tanzania Prisons 0 – 0 Mtibwa Sugar
19/02/23 NBC Premier League
FT Polisi Tanzania 1 – 0 Tanzania Prisons
25/02/23 NBC Premier League
FT Coastal Union 1 – 0 Tanzania Prisons
- MSIMAMO Kundi D CAF Confederation Cup 2022-2023
- MSIMAMO Kundi C CAF Champions League 2022-2023
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili ya hatua ya 16 Bora Azam Sports Federation Cup 2023
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.
The post KIKOSI Cha Yanga vs Tanzania Prisons Leo 03 March 2023 appeared first on Nijuze Mpya.
from Michezo – Nijuze Mpya https://ift.tt/WjnoY9F
via IFTTT
Post a Comment