Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Sheikh Jassim amewasilisha zabuni ya pili ya kuinunua Manchester United usiku wa kuamkia leo Jumamosi, kama ilivyotarajiwa
Sheikh Jassim Group wanaamini kuwa zabuni hiyo yenye uwekezaji mwingi ni bora zaidi kwa klabu, mashabiki na Jumuiya ya Manchester
Sir Jim Ratcliffe INEOS group pia waliwasilisha zabuni yao iliyoboreshwa jana kama ilivyo kwa matajiri wengine ambao walijiunga katika mchakato wa kuinunua Manchester United
Kazi imebaki kwa Glazers kuamua hivi karibuni..
Post a Comment