Hii hapa ratiba ya mechi za Robo fainali Azam confederation cup
byReporter 2
-
0
Mechi za robo fainali zinataratiwa kupigwa mwanzoni mwa mwezi April 2023 kama ilivyoainishwa kwenye ratiba;
2 April 2023 | Singida Big Stars | vs | Mbeya City |
3 April 2023 | Azam Fc | vs | Kagera Sugar |
7 April 2023 | Simba | vs | Ihefu |
8 April 2023 | Yanga | vs | Geita Gold |
Post a Comment