Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mtanange wa watani wa jadi kwa upande wa kinadada Yanga Princess dhidi ya Simba Queens uliopigwa uwanja wa Uhuru, umemalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1
Yanga Princess ililazimika kutokea nyuma kusawazisha kwenye kipindi cha pili kupitia kwa Wogu Succsess
Pamoja na kuwa Yanga Princess ilizihitaji alama zote tatu ili kupunguza gap la pointi dhidi ya watani zao, lakini sare hii imelinda heshima ya kutopteza mchezo dhidi ya Simba Queens msimu huu
Katika misimu miwili sasa, Yanga Princess haijapoteza mchezo dhidi ya Simba Queens
Post a Comment