Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mlinda lango namba mbili wa Yanga Metacha Mnata anatarajiwa kucheza mechi yake ya kwanza kwenye michuano ya kombe la Shirikisho la CAF dhidi ya TP Mazembe April 02
Djigui Diarra ambaye alidaka mechi zote tano za hatua ya makundi, hatakuwa sehemu ya kikosi akitumikia kadi mbili za njano
Diarra alionyeshwa kadi za njano katika michezo dhidi ya Real Bamako na US Monastir na hivyo kulingana na kanuni za mashindano ya CAF, atawakosa TP Mazembe
Lakini pia mlinzi wa kulia Djuma Shaban 'Soldier ya Bemba' na kiungo Khalid Aucho watakosa mchezo huo kutokana na kadi za njano
Yanga inahitaji kushinda mchezo dhidi ya TP Mazembe ili kuwa na nafasi nzuri ya kumaliza vinara wa kundi D
Post a Comment