Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Jumapili, March 26 itapigwa dabi ya Kanda ya Kati, mchezo wa kirafiki kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Singida Big Stars
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa uwanja wa Jamhuri kiingilio kikiwa Tsh 1,000/-
Ni mechi ya kuweka sawa vikosi vya timu hizo wakati huu ligi ikiwa imesimama kupisha kalenda ya CAF
Post a Comment