VIINGILIO Yanga vs TP Mazembe 19 February 2023

VIINGILIO Yanga vs TP Mazembe 19 February 2023 CAF Confederation Cup

VIINGILIO Yanga vs TP Mazembe 19 February 2023

VIINGILIO Yanga vs TP Mazembe 19 February 2023, Yanga vs TP Mazembe leo, Viingilio Yanga vs TP Mazembe leo February 19 22023.

VIINGILIO Yanga vs TP Mazembe 19 February 2023 CAF Confederation Cup

VIINGILIO Yanga vs TP Mazembe 19 February 2023 CAF Confederation Cup

Viingilio Yanga vs TP Mazembe CAF Confederation Cup, Viingilio Yanga vs TP Mazembe Kombe la Shirikisho Afrika, Viingilio Yanga vs TP Mazembe Leo.

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga SC, Ali Kamwe ametangaza Viingilio vya mchezo wa pili wa CAF Confederation Cup hatua ya Makundi na wa kwanza wa nyumbani dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo.

Mchezo huo uliopewa jina (Wananchi Super Sunday) unatarajiwa kupigwa Jumapili ya February 19 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.

Ali Kamwe amesema kuwa dhamira yao ni kuona wanaujaza Uwanja wa Benjamin Mkapa na kuhakikisha wanashinda mechi hiyo na zingine mbili zitazofuata ili kufikia malengo ya kutinga robo Fainali ya CAF Confederation Cup 2022/2023.

“Historia inaonyesha hatukuwa na matokeo mazuri kwenye hatua ya makundi katika miaka ya nyuma lakini msimu huu tuko tayari, tumedhamiria kufanya vizuri na kutinga robo fainali”

“Tunataka mashabiki wetu wawe na utamaduni wa kununua tiketi mapema ndio maana tumetangaza bei za vingilio vya mchezo wetu wa kwanza nyumbani dhidi ya TP Mazembe ambao utapigwa Jumapili, Februari 19”

“Tunajua umuhimu wa alama tisa katika mechi za nyumbani hivyo tunaanza na TP Mazembe, ni lazima tuhakikishe alama zote tatu zinabaki,” amesema Ali Kamwe kwenye Mkutano na waandishi wa habari.

Viingilio vya mchezo huo vimetajwa kuwa ni Tsh 30,000 kwa VIP A, Tsh 20, 000 kwa VIP B na Tsh 10,000 kwa VIP C.

Kwa Mzunguuko itakuwa Tsh 3,000 kama utanunua tiketi mapema na Tsh 5,000 endapo utanunua tiketi siku ya mchezo February 19, 2023.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

The post VIINGILIO Yanga vs TP Mazembe 19 February 2023 appeared first on Nijuze Mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post