Robertinho kuelekea mchezo vs Singida Big Stars

Robertinho kuelekea mchezo vs Singida Big Stars

Robertinho kuelekea mchezo vs Singida Big Stars

Robertinho kuelekea mchezo vs Singida Big Stars, Simba vs Singida Big Stars 03 February 2023 NBC Premier League, Simba vs Singida Big Stars Football Club, Simba vs Singida BS FC, Simba SC Singida Big Stars fc.

Robertinho kuelekea mchezo vs Singida Big Stars

Robertinho kuelekea mchezo vs Singida Big Stars

Simba Sports Club vs Singida Big Stars fc, simba vs Singida Big Stars, Simba vs Singida Big Stars FC, LIVE Simba vs Singida BS.

Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema kuwa maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Big Stars yamekamilika na wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri.

Robertinho ameongeza kuwa amefurahishwa na hali ya kikosi ilivyo kwa sasa kwa kuwa Wachezaji wote waliokuwa majeruhi wamerejea Uwanjani hivyo atakuwa na wigo mpana wa kupanga kikosi.

Robertinho ameongeza kuwa kama ilivyo kawaida wataingia katika mchezo wa kesho kwa lengo la kucheza soka safi la kushambulia na kukaba kwa pamoja.

“Maandalizi yamekamilika, wachezaji wapo kwenye hali nzuri. Jambo zuri kwangu kama mwalimu pamoja na benchi zima la ufundi ni kuona wachezaji wote wakiwa wako fiti.

“Tunategemea kupanga kikosi kamili kwakuwa tunaenda kukutana na timu bora. Tumejipanga kushinda kwakuwa tunahitaji kuwa na morali kuelekea michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

“Tutacheza kwa kufuata falsafa za Simba, tunashambulia na kukaba kwa pamoja lakini lengo letu ni kuhakikisha tunapata ushindi,” amesema Robertinho.

Mchezo huo wa raundi ya 22 Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya NBC unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam kuanzia saa 1:00 Usiku.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

The post Robertinho kuelekea mchezo vs Singida Big Stars appeared first on Nijuze Mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post