PICHAZ: Yanga yaanza mazoezi Tunisia

PICHAZ: Yanga yaanza mazoezi Tunisia

PICHAZ: Yanga yaanza mazoezi Tunisia

PICHAZ: Yanga yaanza mazoezi Tunisia, Yanga SC vs US Monastir CAF  12 February 2023, Yanga vs Us Monastir CAF Confederation League, Yanga vs Us Monastir, Yanga SC vs Monastir tarehe 12 February 2023

PICHAZ: Yanga yaanza mazoezi Tunisia

PICHAZ: Yanga yaanza mazoezi Tunisia

KIKOSI cha Yanga kimeanza rasmi maandalizi ya mchezo wa hatua ya Makundi kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya US Monastirm

Mchezo huo wa kwanza wa kundi D utapigwa Jumapili hii ya Februari 12, 2023 katika Jiji la Tunis Uwanja wa Olympique de Rades kuanzia saa 1:00 Usiku.

Klabu hiyo iliwasili salama mjini Tunis jana Jumatano (Februari 08), kikitokea Dar es salaam Tanzania.

 

Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema kuwa hali ya hewa ya jijini Tunis, Tunisia ni nyuzi joto tisa (9). Baridi ni kali sana kama sio mwenyeji wa eneo hilo.

Kamwe amesema hiyo ndiyo sababu kubwa ya Viongozi wa Yanga kuhakikisha timu inafika mapema Tunisia ili Wachezaji wapate fursa ya kuzoea hali ya hewa kabla ya mchezo wao vs US Monastir.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

The post PICHAZ: Yanga yaanza mazoezi Tunisia appeared first on Nijuze Mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post