KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata Real Bamako Feb 2023

KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata Real Bamako Feb 2023, Kikosi cha Yanga vs Real Bamako leo 26 February 2023,Kikosi cha Yanga vs Real Bamako leo 26 February 2023 CAF Confederation Cup, Kikosi cha Yanga vs Bamako leo, Kikosi Yanga dhidi ya Real Bamako leo February 26 2023,Kikosi cha Bamako vs Yanga leo 26 February 2023, Kikosi Yanga kinachoanza dhidi ya Bamako CAF Confederation Cup,Kikosi cha Bamako vs Yanga leo 26 Feb 2023, Kikosi cha Yanga kilichoifuata Real Bamako.

KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata Real Bamako Feb 2023

KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata Real Bamako Feb 2023, Kikosi cha Yanga vs Real Bamako leo 26 February 2023,Kikosi cha Yanga vs Real Bamako leo 26 February 2023 CAF Confederation Cup, Kikosi cha Yanga vs Bamako leo.

KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata Real Bamako Feb 2023, Kikosi cha Yanga vs Real Bamako leo 26 February 2023,Kikosi cha Yanga vs Real Bamako leo 26 February 2023 CAF Confederation Cup, Kikosi cha Yanga vs Bamako leo, Kikosi Yanga dhidi ya Real Bamako leo February 26 2023,Kikosi cha Bamako vs Yanga leo 26 February 2023, Kikosi Yanga kinachoanza dhidi ya Bamako CAF Confederation Cup,Kikosi cha Bamako vs Yanga leo 26 Feb 2023, Kikosi cha Yanga kilichoifuata Real Bamako.

KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata Real Bamako Feb 2023

Kikosi cha Yanga Alfajiri ya kuamkia Leo Alhamisi 23 Feb 2023 kimeanza safari ya kuelekea nchini Mali kwaajili ya mchezo wa raundi ya tatu Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Real Bamako ya nchini humo.WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu Tanzania Bara | NBC Premier League 2022/2023

Yanga inaenda Mali kuzisaka alama tatu muhimu ili kujiweka sawa kwenye Msimamo wa Kundi D ambalo wapo US Monastir ya Tunisia, TP Mazembe ya DR na hao Real Bamako ya Mali.

Kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC ambao umechezwa siku moja kabla ya safari Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0, bao la Ushindi likifungwa na Clement Mzize.

Kocha Mtunisia, Nasreddine Nabi aliwapa Mapumziko asilimia kubwa ya Wachezaji waliotumika kwenye mchezo wa raundi ya pili Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya TP Mazembe ambao Yanga waliibuka na Ushindi wa mabao 3-1.

Kikosi Yanga dhidi ya Real Bamako leo February 26 2023,Kikosi cha Bamako vs Yanga leo 26 February 2023, Kikosi Yanga kinachoanza dhidi ya Bamako CAF Confederation Cup,Kikosi cha Bamako vs Yanga leo 26 Feb 2023, Kikosi cha Yanga kilichoifuata Real Bamako.

Orodha kamili ya Wachezaji 24 wa Yanga waliosafiri kuifuata Real Bamako ya Mali.

Orodha kamili ya Wachezaji 24 wa Yanga waliosafiri kuifuata Real Bamako ya Mali.

MAKIPA
1:Djigui Diarra
2:Metacha Mnata
3:Erick Johora

MSIMAMO Kundi D CAF Confederation Cup 2022-2023

MABEKI
4:Mamadou Doumbia
5:Ibrahim Bacca
6:Bakari Mwamnyeto
7:Dickson Job
8:Kibwana Shomari
9:David Bryson
10:Joyce Lomalisa

VIUNGO
11:Farid Mussa
12:Mudathir Yahya
13:Zawadi Mauya
14:Salum Abubakar
15:Yanick Bangala
16:Khalid Aucho
17:Djuma Shaban

WASHAMBULIAJI
18:Jesus Moloko
19:Fiston Mayele
20:Kennedy Musonda
21:Stephane Aziz KI
22:Tuisila Kisinda
23:Dickson Ambundo
24:Clement Mzize.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Jumapili ya February 26 kwenye Uwanja wa Stade du 26 Mars nchini Mali kuanzia saa 1:00 Usiku.

Kikosi Yanga dhidi ya Real Bamako leo February 26 2023,Kikosi cha Bamako vs Yanga leo 26 February 2023, Kikosi Yanga kinachoanza dhidi ya Bamako CAF Confederation Cup,Kikosi cha Bamako vs Yanga leo 26 Feb 2023, Kikosi cha Yanga kilichoifuata Real Bamako.

About Association Sportive du Real Bamako (Real Bamako)

Association Sportive du Real Bamako, commonly referred to as Real Bamako is a Malian football club based in Bamako. They play in the Malian Première Division the top division in Malian football. Their home stadium is Stade Modibo Keïta.

Among Real Bamako’s most successful players was Salif “Domingo” Keïta (1963–67), who went on to win three Championships and the Ballon d’Or Africain (1970) at Saint-Étienne in France.

About Young Africans (Yanga SC)

Young Africans Sports Club, commonly referred as Yanga is a Tanzanian professional football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium.

Nicknamed “Yanga” (Young Boys),[3] the club has won 28 league titles and number of domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They have won the CECAFA Club Championship five times.

The club became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours. The club is currently in a process that will keep the club ownership 49% for investors and the rest 51% to the club members.

The club holds a long-standing rivalry with their cross-city rivals Simba, whom they contest the Dar es Salaam (better known as Kariakoo) derby. The rivalry was ranked 5th as one of the most famous African derbies.

The post KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata Real Bamako Feb 2023 appeared first on Nijuze Mpya.

from Michezo – Nijuze Mpya https://ift.tt/BteNUsJ
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post