KIKOSI Cha Simba kinachoifuata Horoya Athletic Club Guinea

KIKOSI Cha Simba kinachoifuata Horoya Athletic Club Guinea

KIKOSI Cha Simba kinachoifuata Horoya Athletic Club Guinea

Simba vs Horoya, Simba SC vs Horoya Athletic Club, Simba vs Horoya CAF Champions League, Horoya vs Simba, Horoya Athletic Club vs Simba Sports Club, Horoya AC vs Simba SC, Kikosi cha Simba kilichokwenda Guinea.

KIKOSI Cha Simba kinachoifuata Horoya Athletic Club Guinea

KIKOSI Cha Simba kinachoifuata Horoya Athletic Club Guinea

Kikosi cha Simba kilichoifuata Horoya Athletic Club Guinea, Kikosi cha Simba Sports Club kilichokwenda Guinea, Kikosi cha Simba Sports Club kilichoifuata Horoya Athletic Club Guinea.

KIKOSI Cha Simba SC kinachosafiri kesho saa 10 alfajiri kuelekea Guinea kwaajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya Athletic Club.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumamosi hii ya February 11, 2023 kwenye Uwanja wa General Lansana Conte nchini Guinea kuanzia saa 19:00 Usiku.

Kikosi hicho kitaondoka na msafara wa watu 45 ambapo wachezaji watakuwa 24 benchi la ufundi pamoja na viongozi wa timu.

Kiungo Mshambuliaji, Saido Ntibazonkiza, Peter Banda pamoja na Jonas Mkude hawatokuwa sehemu ya Wachezaji wanaosafiri kuifuata Horoya Athletic Club kesho na hakuna taarifa yoyote kutoka Simba inayoelezea sababu za Wachezaji hao kutokuwa sehemu ya safari hiyo.

Orodha kamili ya Wachezaji wa Simba SC wanaosafiri kuifuata Horoya Athletic Club ya Guinea kwenye mchezo wa CAF Champions League hatua ya Makundi.

MAKIPA
1:Aishi Manula
2:Beno Kakolanya
3:Ally Salim

RATIBA kamili ya hatua ya 16 Bora Azam Sports Federation Cup 2023

MABEKI
4:Shomari Kapombe
5:Gadiel Michael
6:Mohamed Hussein
7:Israel Mwenda
8:Joash Onyango
9:Henock Inonga
10:Mohammed Quatara
11:Kennedy Juma
12:Erasto Nyoni

SHINDA MAMILIONI NA GAL SPORT TANZANIA, JISAJILI HAPA KUSHINDA

VIUNGO
13:Sadio Kanoute
14:Mzamiru Yassin
15:Pape Osmane Sakho
16:Kibu Denis
17:Nassor Kapama
18:Ismael Sawadogo
19:Clatous Chama

MATOKEO ya Kidato cha Nne 2022/2023

WASHAMBULIAJI
20:John Bocco
21:Mohammed Mussa
22:Jean Baleke
23:Habibu Kyombo
24:Moses Phiri

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

The post KIKOSI Cha Simba kinachoifuata Horoya Athletic Club Guinea appeared first on Nijuze Mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post