Jinsi ya kucheza Tatu Mzuka na Ushinde hadi Mara 200 ya dau lako
Jinsi ya kucheza Tatu Mzuka na Ushinde hadi Mara 200 ya dau lako, Tatu mzuka results,Tatu mzuka mawasiliano,Siri ya kushinda tatu mzuka,Jinsi ya kucheza tatu mzuka na kushinda,Tatu Mzuka apk,Tatu Mzuka app,Tatu Mzuka Tanzania,Tatu Mzuka Download,Tatu mzuka 2023,Tatu mzuka live.
Tatu Mzuka Tanzania ni mchezo wa kubashiri namba zitakazoshinda katika drop ya kila baada ya dakika tano ambapo mchezaji hushinda Kati ya 200,000 mpka milioni 5, kiwango kiwango Cha kucheza ni kuanzia 500, mpka 30,000 huku Jackpot kubwa ya Kushinda kuanzia milioni 1, Hadi milioni 50 ikifanyika kila jumatano.
Jinsi ya kucheza Tatu Mzuka
1.Chagua namba zako tatu za bahati mfano 685, 890,987,123,354,678,901, 256,899,
2.PIGA Menyu yako ya malipo, hakikisha una kuanzia 1200 katika account yako
Read this: Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
Kisha fuata maelekezo haya kulingana na mtandao wako wa simu.
Jinsi ya kucheza TatuMzuka Tanzania kwa Tigo, Vodacom, Airtel & Halotel
Shinda hadi Mara 200 ya dau lako uliloliweka.
- Bonyeza *150*00#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni(555111)
- Ingiza namba ya kumbukumbu(namba zako 3 za bahati Mfano 123)
- Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500-30,000
- Ingiza namba yako ya siri, Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako
- Bonyeza *150*01#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua 3 kisha weka namba ya kampuni(555111)
- Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
- Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500-30,000
- Ingiza namba yako ya siri Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako
- Bonyeza *150*88#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua 4 Bahati nasibu
- Chagua namba 2 TatuMzuka
- Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
- Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500 – 30,000
- Ingiza namba yako ya siri, Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako
- Bonyeza *150*60#
- Chagua namba 5 (Lipia Bili)
- Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni(555111)
- Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
- Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500-30,000
- Ingiza namba yako ya siri Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako
Rahisi! Utapokea tiketi yako kupitia ujumbe mfupi wa maandishi.
Read this: KUFUNGUA akaunti ya Gal Sport Tanzania
Linganisha namba 2 au 3 bila mpangilio au 3 kwa mpangilio na ushinde kati ya Tzs 1000 na Tzs 6,000,000.
Utapokea ujumbe mfupi baada ya ushindi, na pesa ya ushindi italipwa moja kwa moja kwenye akaunti
yako ya tigopesa, Airtel Vodacom au Halotel.
Cheza TatuMzuka sasa
Kupitia M-pesa,Tigopesa, HaloPesa au Airtel Money
Gusa hapa kucheza Tatu Mzuka na Ushinde hadi Mara 200 ya dau lako
-Shinda hadi Mara 200 ya dau lako
-Namba Moto Tatu Mzuka kila siku bonyeza Hapa
-Kuwasiliana na Tatu Mzuka bonyeza Hapa
-Kuingia Tatu Mzuka Tanzania bonyeza Hapa
-Kuona Washindi wapya wa TatuMzuka Kila Siku bonyeza Hapa
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- MABADILIKO ya tarehe Simba vs Yanga, tazama mabadiliko mengine hapa
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.
The post Jinsi ya kucheza Tatu Mzuka na Ushinde hadi Mara 200 ya dau lako appeared first on Nijuze Mpya.
Post a Comment