JINSI ya Kubeti na kushinda kila siku Nijuze Habari

JINSI ya Kubeti na kushinda kila siku Nijuze Habari

JINSI ya Kubeti na kushinda kila siku Nijuze Habari

JINSI ya Kubeti na kushinda kila siku Nijuze Habari

JINSI ya Kubeti na kushinda kila siku Nijuze Habari

Kubeti na kushinda kila siku ni ndoto ya kila mchezaji wa michezo ya kubashiri lakini ukweli ni kuwa huwezi Kushinda kila siku Ila unaweza Kushinda Mara nyingi na kupata faida.

1.1 Jinsi ya Kubeti na Kushinda Kila Siku

2.1 ODS Zenye Nafasi Kubwa ya Kushinda

Ili uweze kubeti na kushinda mkeka wako ni lazima uzingatie yafuatayo

1.1.0  Usibeti kiushabiki

Hakikisha hubeti mchezo kwa kuwa tu wewe ni shabiki wa timu hiyo na kuipa ushindi kwa kuwa unaipenda timu hiyo.

Kufanya hivyo kutakufanya upoteze mara nyingi

1.1.1 Weka timu chache dau Kubwa

Hii ndio mbinu ya ushindi kwenye mkeka, kumbuka kadiri unavyoweka timu nyingi kwenye mkeka unakuwa kwenye nafasi kubwa ya kupoteza beti yako.

Nimuhimu kuchagua ods chache za uhakika na kubeti dau kubwa kuliko kuweka ods nyingi na  na dau dogo kutegemea Kushinda fedha nyingi kwenye mkeka.

Kufanya hivyo kutakufanya uwe unapoteza mkeka wako mara kwa mara.

1.1.2 Chunguza mwenendo wa timu, ni vyema kuchunguza mwenendo wa timu husika katika mechi za hivi karibuni.

  • Je matokeo yao yalikuwaje?
  • Je zinapokutana timu hizo matokeo yanakuwaje?
  • He kikosi cha timu hiyo kwa siku husika kipoje?
  • Uwiano wa magoli ya kufungunga na kufungwa kupoje?

1.1.3 Tuliza akili pale unapopoteza, acha kuchanganyikiwa na kutaka kurudisha kiasi ulichopoteza katika mkeka uliotangulia kufanya hivyo kutakufanya upoteze sana.

1.1.4 Angalia utabiri katika tovuti za kubashiri matokeo mtandaoni, Japo sio za kuaminika sana lakini zinaweza kukupa mwanga na wewe mwenyewe kufanya maamuzi mkeka wako uweje.

1.1.5 Beti kwenye tovuti rahisi Kushinda na zenye bonasi, ninaposema tovuti rahisi Kushinda ni zile app za Kubeti ambazo huwa na options nyingi au machaguo mengi ambayo ni rahisi kutokea katika mchezo kwa mfano machaguo ya idadi ya Kona, Mpira kushikwa.

1.5 Beti Kisataarabu

Kubeti kistaarabu ni kuacha kubeti hovyo, beti kwa mpangilio na ikiwa unautambua mchezo husika Usibeti kwa mjhemko.

2.0 Ods zenye nafasi kubwa ya Kushinda.

Zipo ods ambazo huweza Kushinda Mara kwa mara jaribu kuangalia katika kampuni ambayo unabeti

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

The post JINSI ya Kubeti na kushinda kila siku Nijuze Habari appeared first on Nijuze Mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post