Cheza Slots unayoipenda Ushinde beti ya Bure na Gal Sport

Cheza Slots unayoipenda Ushinde beti ya Bure na Gal Sport Betting

Cheza Slots unayoipenda Ushinde beti ya Bure na Gal Sport Betting

Cheza Slots unayoipenda Ushinde beti ya Bure na Gal Sport Betting

Cheza Slots unayoipenda Ushinde beti ya Bure na Gal Sport Betting

Cheza Slots unayoipenda Ushinde beti ya Bure na Gal Sport, Kwa maombi yenu mengi, hatimaye tunazungumzia ofa mpya ya kasino ya Magic Monday.

Kila Jumatatu utakuwa na fursa ya kupata Freebet kulingana na bet zako kwenye Kasino. Sasa ni wakati wa kuwa na kula maisha na Gal Sport Betting Tanzania

T&C

  1. Ofa inapatikana Jumatatu pekee ya kila wiki.
  2. Mshiriki anatakiwa kucheza katika michezo 5 ya kasino siku ya Jumatatu.
  3. Kiasi cha chini kabisa cha dau ni 10,000 TSH. Jumla ya dau lazima zichezwe kwenye michezo ya Kasino pekee.
  4. Bonasi itawekwa kama FreeBet/ Mkeka wa bure.
  5. TSH 1,000 itawekwa kama FreeBet/ mkeka wa bure.
  6. Vigezo na Masharti kwa ujumla vya Michezo ya Kubashiri vinatumika.
  7. Zawadi ya mkeka wa bure hutolewa kama mkeka moja.

Zawadi inayotolewa kama mkeka wa bure, kwa kuzingatia masharti yafuatayo:

Uteuzi 3

Kiwango cha chini cha odds kwa kila mechi : 1.5

Uhalali wa Bonasi: Siku 3

Bonasi moja kwa kila mshiriki

  1. Mikka hii ya bure haiwezi kutumika pamoja na ofa nyingine yoyote ya bure ya bet kutoka kwa Gal Sports Betting
  2. Ofa hii inaweza kusimamishwa wakati wowote kwa hiari ya kampuni.5

CHEZA HAPA

Mwongozo wa kujisajili na Gal Sport Betting Tanzania

Mwongozo wa kujisajili na Gal Sport Betting Tanzania

Mwongozo wa kujisajili na Gal Sport Betting Tanzania

Kama moja ya tovuti bora za kubashiri michezo nchini Tanzania, tovuti ya kubashiri michezo ya GalSport ina vipengele kadhaa vya kuvutia.

Vipengele hivyo ni  kama vile casino na ubashiri wa moja kwa moja. Ila kabla ya kutumia tovuti ya kubashiri michezo ya kubahatisha, ni lazima ukamilishe mchakato wa usajili wa GalSport.

Hivyo basi, makala hii itakuelekeza jinsi ya kujisajili na Gal Sport betting Tanzania kwenye tovuti.

Wateja wapya kwenye GalSport Betting hupatiwa bonasi ya kuanzia, na bonasi hii hutolewa pale  utakapokuwa umeweka kiasi cha fedha.

Mchakato wa Usajili wa GalSport unafanyaje kazi?

Jinsi ya kujisajili na Gal Sport betting ni rahisi na huchukua takribani dakika 2 tu kukamilika.

Hivi sasa, huwezi kujiandikisha kwa njia ya SMS au USSD, njia pekee ya kusajili kwenye vitabu vya kubashiri ni kupitia tovuti ya Gal Sport Betting Tanzania.

Fuata hatua zilizoorodheshwa hapa chini ili kukamilisha mchakato wa usajili wa Gal Sport Betting.

  • Nenda kwenye tovuti ya Gal Sport Betting
  • Bonyeza kitufe cha ‘jisajili
  • Unda “neno la siri” imara.
  •  Ingiza maelezo kama vile; namba yako ya simu na jina lako.
  • Weka alama kwenye kisanduku cha kukagua ili kuthibitisha wewe ni miaka 18 na zaidi na kukubali vigezo na masharti ya waandaa vitabu vya bett.
  • Kisha bonyeza kitufe cha ‘jisajili’.
  • Mwaandaa vitabu vya michezo ya kubashiri, atatuma namba ya usajili kwenye simu yako.
  • Ingiza namba hiyo na ubonyeze “thibitisha” kusajili akaunti yako.
jinsi ya kujisajili na Gal Sport Betting

Jifunze hapa Jinsi ya kujisajili na Gal Sport betting kwa njia ya simu ya mkononi

Waandaaji wa vitabu vya michezo ya kubashiri wana App ya simu ambayo wabashiri wanaweza kutumia kusajili akaunti zao.

Kwa bahati mbaya, App ya simu inapatikana kwa watumiaji wa Android pekee. App hii haipatikani kwenye Google Play Store, lakini unaweza kupakua faili la APK na kui-install mwenyewe.

Ili kufanya hivyo, bonyeza kitufe cha ‘Pakua Programu yetu’ kwenye footer ya tovuti na ufuate maelekezo. Baada ya kupakua na kuinstall App fuata hatua zifuatazo kukamilisha usajili wako wa Gal Sport kwenye App ya simu.

  1. Fungua App ya Gal Sport Betting.
  2. Bonyeza kitufe kilichoandiwa ‘Jiunge’.
  3. Unda neno la siri imara lenye mchanganyio wa namba na herufi iwe na herufi walau nane.
  4. Weka taarifa zinazohitajika zikiwemo namba yako ya simu, pamoja na jina lao la mwanzo na la mwisho.
  5. Weka alama kwenye kisanduku cha kukagua ili kuthibitisha kuwa una miaka 18 na zaidi na ukubali vigezo na masharti yawaandaa vitabu vya kubashiri.
  6. Bonyeza kitufe cha ‘jisajili’, na mwandaa vitabu vya kubet atasajili akaunti yako.

Mchakato wa Uhakiki wa Utambulisho

Kuna njia mbili za uhakiki kwenye Gal Sport Betting Tanzania.

Kwanza ni uhakiki kwa njia ya simu. Kabla ya kukamilisha usajili, mwandaaji wa vitabu vya kubashiri atatuma code ya usajili kwenye simu yako kama SMS.

Kisha, utaingiza nambari za code hiyo katika nafasi iliyotolewa ili kuthibitisha akaunti yako.

sportsbetting.co.tz
https://sportsbetting.co.tz › gal-sport…
Kampuni ya Kubashiri Michezo Tanzania | Gal Sport Betting, Cheza “Happy Hour”, Deposit Gal Sport Betting Tanzania, Usajili, Gal Sport login, Gal Sport Betting app download, Gal Sports bet, Gal Sport Betting app, Gal Sport Betting Dar es Salaam, Gal Sport Betting Tanzania.

Pili ni uhakiki wa akaunti unaohitajika baada ya kuweka pesa au unapofanya ombi la kutoa pesa kiasi kikubwa.

Utatakiwa kupakia (upload) baadhi ya nyaraka ili kuthibitisha maelezo uliyotoa wakati wa mchakato wa usajili. Baadhi ya nyaraka zinazohitajika ni pamoja na.

  • Nakala ya kitambulisho chako halali kama vile hati ya kusafiria au leseni ya udereva.
  •  Nakala ya muswada wa matumizi yako ya hivi karibuni, kama vile bili ya maji au umeme isiyozidi miezi mitatu nyuma.
  •  Nakala ya taarifa za akaunti yako ya benki. Taarifa hii ya akaunti pia iwe ni ya ndani ya miezi 3 ya hivi karibuni.

Ili kuthibitisha akaunti yako, lazima u-iscani na kupakia (upload) nyaraka yoyote kati ya hizi kwa timu ya watoa huduma kwa wateja ya waandaaji  wa vitabu vya kubashiri.

Unaweza kuituma kwa anuani ya barua pepe ifuatayo; customercare@gsb.co.tz. wakati waandaa vitabu wanathibitisha hati yako, ombi lako la kutoa pesa litashughulikiwa.

Mahitaji ya Usajili

Jinsi ya kujisajili na Gal Sport Betting pamoja na mchakato wake ni bure, lakini  hakikisha umetimiza mahitaji yote ya mchakato. Hapa kuna baadhi ya mahitaji ya usajili:

Nambari ya simu ya Tanzania

Waandaaji wa vitabu vya kubashiri, hutoa huduma kwa wabashiri wa nchini Tanzania tu.

Hivyo kama unataka kukamilisha usajili wa Gal Sport Betting nchini Tanzania, hakikisha unatumia namba halali ya Tanzania.

Kwa kuongezea, lazima uhakikishe kipengele cha ‘Do-Not-Disturb’ kimezimwa kwenye simu yako ya mkononi kwani kinaweza kukuzuia kupokea code ya usajili. Code namba yako itatumwa kupitia SMS, na utahitaji kukamilisha usajili.

Umri unaohitajika

Kabla ya kujiandikisha kwenye Gal Sport Betting, lazima uwe na miaka 18 na zaidi.

Mahitaji ya umri ni moja ya kanuni za Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania.

Bodi ina jukumu la  kutoa leseni kwa makampuni ya kuabashiri kufanya kazi nchini. Hivyo kila mbashiri lazima athibitishe kwamba ana  miaka 18 au zaidi.

Uthibitisho huu unaambatana na  nyaraka halali kwa kuweka alama kwenye kisanduku cha ukaguzi kilichopo chini ya fomu ya usajili.

Unda Nenosiri Imara

Ni lazima uunde neno la siri imara wakati wa kuisajili akaunti yako ili kulinda maelezo yako yasiweze kufikiwa na wasiohitajika.

Mwandaaji wa vitabu atabainisha kuwa neno siri lako lazima liwe na herufi 8 na liwe na angalu mchanganyiko wa herufi na namba

Jinsi ya kujisajili na Gal Sport betting kwa Njia ya mtandao

Gal Sport bado haijajiunganisha na sms za kawaida. Hivyo usajili wote utafanyia kwenye jukwaa lao la Gal Sport Betting Tanzania. Hivyo basi unapaswa uwe na internet kwenye simu yako kabla ya kuanza kufanya usajili.

Vigezo na masharti vya kujisajili na Gal Sport betting

Mwisho, ili kukamilisha usajili wa Gal sport betting unapaswa ukubali vigezo na masharti vya waandaa vitabu. 

Utatakiwa kubonyeza sehemu ya uhakiki uliyotumia kukuonesha kuwa una umri wa miaka 18 na kuendelea.

Bonasi ya ukaribisho

100% HADI TSH1,000,000 KWENYE KUWEKA MALIPO YA KWANZA

Kuna bonasi ya kwanza ya inayotolewa kwa kila mchezaji mpya anayejiandikisha kwenye tovuti ya Gal Sport Betting.

Bonasi hii ni 100% ya amana yako ya kwanza hadi 1,000,000 TSH. Fuata hatua zilizo hapa chini ili kupata bonasi ya kwanza ya baada ya kuweka fedha yako.

Kamilisha mchakato wa usajili wa Gal Sport Betting.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Cheza Slots unayoipenda Ushinde beti ya Bure na Gal Sport Betting

The post Cheza Slots unayoipenda Ushinde beti ya Bure na Gal Sport appeared first on Nijuze Mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post