RATIBA ya mechi mbili za Kirafiki za Simba huko Dubai
Simba vs Al Dhafrah, Simba vs Al Dhafrah ya UAE, Al Dhafrah UAE vs Simba Tanzania, Simba Sports Club vs Al Dhafrah Football Club, Simba sc vsvAl Dhafrah FC, CSKA Moscow vs Simba SC, Simba Tanzania vs CSKA Moscow Football Club, Simba Sports Club vs CSKA Moscow Russian, Simba vs CSKA Moscow fc, Simba SC vs CSKA Moscow.
Ratiba ya michezo miwili ya kimataifa ya kirafiki ya Klabu ya Simba Sports Club huko Dubai.
Klabu ya Simba inaendelea na maandalizi huko Dubai, ambapo inatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki kabla ya kurejea nchini Tanzania.
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema kuwa mechi ya kwanza itapigwa January 13 dhidi ya Al Dhafrah ya Falme za Kiarabu ambayo pia imeweka kambi hapo Dubai.
Mchezo huo utapigwa katika Mji wa Abu Dhabi, saa 11:00 jioni.
Mechi ya pili itakuwa dhidi ya CSKA Moscow ya Urusi ambayo itapigwa January 15 hukohuko Abu Dhabi majira yale yale.
CSKA Moscow ni Mabingwa wa Ligi Kuu ya Urusi msimu wa 2015/2016 lakini pia wameshiriki mara nyingi michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Europa Barani Ulaya kabla Urusi haijafungiwa na UEFA.
- MATOKEO | Tazama Hapa Matokeo ya Darasa la Nne, Kidato Cha Pili na Cha Nne 2022/2023
- MAKUNDI na Ratiba ya Kombe la Mapinduzi 2023
- TETESI Usajili Ligi Kuu dirisha dogo la usajili 2022/2023
- MAJINA ya waliochaguliwa Kujiunga na VETA Tanzania 2023
- NECTA Matokeo ya Darasa la Saba 2022/2023
- MAJINA ya Wanafunzi na Shule walizochaguliwa form one 2023
- Msimamo Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- Simba yapangwa kundi C CAF Champions League 2022/2023
- Yanga yapangwa kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.
Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.
The post RATIBA ya mechi mbili za Kirafiki za Simba huko Dubai appeared first on Nijuze Mpya.
Post a Comment