Murtaza Mangungu Mwenyekiti mpya Simba Sports Club
Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Simba 2023, Matokeo Uchaguzi Mkuu Simba Sports Club leo, Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Simba SC 2023, Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Simba, Matokeo Uchaguzi Mkuu wa Simba Sports Club, Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa simba 2023.
Murtaza Mangungu amefanikiwa kutetea kiti chake baada ya kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa klabu ya Simba Sports Club kwa muda wa miaka minne katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika jana January 29, 2023.
Mangungu ametetea nafasi yake baada ya kumshinda Adv. Moses Kaluwa kwa kura 1311 dhidi ya 1045 alizopata mpinzani wake.
Aidha Matokeo ya Uchaguzi huo yalichelewa kutangazwa kutokana na zoezi la uhesabiaji kuchukua muda mrefu kutokana na idadi kubwa ya wanachama waliojitokeza kupiga kura.
Kwa mara ya kwanza Mangungu alichaguliwa Mwenyekiti wa klabu hiyo miaka miwili iliyopita akichukua nafasi ya Swedi Mkwabi aliyejiuzulu nafasi hiyo.
Idadi ya kura walikuwa 2363 Kura halali ni 2356 na kura zilizoharibika ni 7.
Kwa upande wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi walioshinda ni
1:Dr Seif Ramadhan Muba 1636
2:Asha Baraka 1564
3:CPA Issa Masoud Iddi 1285
4:Rodney Chiduo 1267
5:Seleman Harubu 1250
- MATOKEO Simba vs Coastal Union leo January 28 2023 Azam Sports Federation Cup
- Timu zilizofuzu hatua ya 16 Bora Azam Sports Federation Cup 2022/2023
- MABADILIKO ya tarehe Simba vs Yanga, tazama mabadiliko mengine hapa
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- NECTA: Matokeo ya Darasa la nne 2022/2023
- NECTA: Matokeo ya Kidato cha Pili 2022/2023
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- Simba yapangwa kundi C CAF Champions League 2022/2023
- Yanga yapangwa kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.
The post Murtaza Mangungu Mwenyekiti mpya Simba Sports Club appeared first on Nijuze Mpya.
Post a Comment