MLANDEGE Bingwa Mapinduzi Cup 2023
- MFAHAMU Kennedy Musonda Mchezaji wa Yanga
- YANGA yamtambulisha Kennedy Musonda
- Matokeo Simba vs Al Dhafrah January 13 2023
MABAO mawili ya Mlandege yaliyofungwa kipindi cha kwanza cha mchezo walitosha uipa Ubingwa wa Mapinduzi 2023 na kuwafanya wapate Millioni 30 na medali za dhahabu huku Singida Big Stars ikiambulia Millioni 20 za mshindi wa pili na medali za fedha.
Pichani ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akikabidhi Kombe Kwa Mabingwa wa Mapinduzi Cup mwaka 2023 Timu ya Mlandege FC ya Zanzibar, baada ya mchezo wa fainali dhidi ya Timu ya Singida Big Stars uliochezwa January 13, 2022 kwenye Uwanja wa Aman uliopo Mjini Unguja Visiwani Zanzibar.
Mabao ya ushindi ya Mlandege yalifungwa na Bashima Saite dakika ya 7 na Abdulnassir Mohamed dakika ya 19 huku bao pekee la Singida Big Stars likifungwa na Francis Kazadi Kasengu dakika ya 52.
- MATOKEO ya droo raundi ya 32 na 16 Bora ASFC 2023
- RATIBA ya mechi mbili za Kirafiki za Simba huko Dubai
Timu ya Mlandege imetwaa Ubingwa huo baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2 -1 dhidi ya Singida Big Stars, ikiwa timu hizo zote zimeingia Fainali hiyo kwa mara ya kwanza tangu Mashindano hayo yaanzishwe.
Baraza la wawakilishi Zanzibar lilitoa Million 5 na kuifanya Mlandege kuondoka na kitita cha Millioni 35 wakitwaa taji hilo baada ya miaka 13 mara ya mwisho timu za Zanzibar kutwaa taji ilikuwa mwaka 2009 wakichukua timu ya Miembeni.
Wakati wakitwaa taji hilo na kitita hicho timu hiyo imeahidiwa Pikipiki aina ya Honda na mmiliki wake akitoa kwa timu na benchi zima la Ufundi.
Biemes Carno aliibuka Mchezaji Bora mwenye nidhamu na kupata laki tano huku mshambuliaji wa Mlandege Saite akilamba Million moja kwa kuibuka Mchezaji Bora wa mchezo huo wa Fainali.
Mshambuliaji wa Singida Big Stars, Francy Kazadi Kasengu aliibuka Mfungaji Bora wa Mashindano hayo, akitupia kambani mabao 6, mabao manne akiyafunga kwenye mchezo mmoja dhidi ya Azam FC, moja dhidi ya Yanga SC na jingine kwenye mchezo wa Fainali dhidi ya Mlandege.
- FAHAMU Jinsi ya kupata namba ya NIDA (NIN)
- MATOKEO ya Marudio Mtihani darasa la saba 2022
- NECTA: Matokeo ya Darasa la nne 2022/2023
- NECTA: Matokeo ya Kidato cha Pili 2022/2023
- MATOKEO | Tazama Hapa Matokeo ya Darasa la Nne, Kidato Cha Pili na Cha Nne 2022/2023
- TETESI Usajili Ligi Kuu dirisha dogo la usajili 2022/2023
- MAJINA ya waliochaguliwa Kujiunga na VETA Tanzania 2023
- NECTA Matokeo ya Darasa la Saba 2022/2023
- MAJINA ya Wanafunzi na Shule walizochaguliwa form one 2023
- Msimamo Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- Simba yapangwa kundi C CAF Champions League 2022/2023
- Yanga yapangwa kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.
Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.
The post MLANDEGE Bingwa Mapinduzi Cup 2023 appeared first on Nijuze Mpya.
Post a Comment