MATOKEO Yanga vs Singida Big Stars leo tarehe 06 January 2023
MATOKEO Yanga vs Singida Big Stars leo tarehe 06 January 2023, Mapinduzi Cup, Yanga vs Singida Big Stars sc leo, Yanga vs Singida Big Mapinduzi Cup, Yanga vs Singida Big Stars FC, Yanga Sports Club vs Singida Big Stars, matokeo Yanga vs Singida,
Matokeo Yanga sc vs Singida Big Stars Football Club, Matokeo Yanga Sports Club vs Singida fc, matokeo yanga SC vs Singida Big Stars leo, matokeo Yanga SC vs Singida FC leo,
- MATOKEO ya Marudio Mtihani darasa la saba 2022
- NECTA: Matokeo ya Darasa la nne 2022/2023
- NECTA: Matokeo ya Kidato cha Pili 2022/2023
Klabu ya Yanga SC itacheza mchezo unaofuata dhidi ya Singida Big Stars FC ya Singida leo tarehe 6 January 2023 kuanzia saa 2:15 Usiku.
Mechi hiyo itakuwa ya pili na ya mwisho kwenye hatua ya Makundi, michuano ya Kombe la Mapinduzi Visiwani Zanzibar mwaka huu 2023 kwa timu zote.
Mechi hiyo itakapoanza, utaweza kufuatilia Matokeo ya moja kwa moja ya Yanga SC dhidi ya Singida Big Stars, pia utawezeza kuangalia Msimamo Kundi B, na takwimu za mechi hiyo, dakika baada ya dakika kupitia Nijuze Habari.
Baada ya ushindi dhidi KMKM mchezo uliopita, Yanga SC inahitaji ushindi wa aina yeyote kwenye mechi ya leo dhidi ya Singida BS ili kufuzu hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi.
Wakati Yanga akiitaji ushindi wa lazima Singida Big Stars wao wanahitaji sare yoyote au ushindi wowote dhidi ya Yanga ili kufuzu hatua hiyo ya Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi.
Kupitia Nijuze Habari unaweza kutazama ratiba Kombe la Mapinduzi 2023, Msimamo na raarifa zote kuhusu Mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayoendelea Visiwani Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan Mjini Unguja.
Mechi hiyo inatarajiwa kuanza saa 2:15 Usiku kwenye Uwanja wa Amaan Mjini Unguja Visiwani Zanzibar.
Michuano ya Mapinduzi Cup ni michuano ya mtoano ya kwanza visiwani Zanzibar.
Mapinduzi kwa maana ya Mapinduzi kwa kutambua Mapinduzi ya Zanzibar, Mapinduzi Cup ni mashindano yanayoundwa na Shirikisho la Soka Zanzibar kuadhimisha siku ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Januari 12.
Timu ya Yanga ni moja ya timu kubwa na zinazofanya vizuri katika Ligi Kuu ya NBC na kwenye Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania inaongoza ikiwa na ponti 50 huku nafasi ya pili ikichukuliwa na mtani wake Simba sc mwenye pointi 44.
Ligi Kuu ya Tanzania Bara ndiyo Ligi yenye ushindani mkubwa zaidi Tanzania, ikisimamiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Ilianzishwa mnamo 1965, kipindi hicho kilijulikana kama “Ligi ya Kitaifa”. Jina lilibadilishwa na kuwa “Ligi ya Daraja la Kwanza” na ikabadilishwa jina la “Premier League” mnamo 1997.
Young Africans Sports Club, inayojulikana kama Yanga ni klabu ya soka ya Tanzania yenye makazi yake mtaa wa Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania.
Klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1935, inacheza michezo yake ya nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kwa jina la utani “Yanga” (Young Boys), klabu hiyo imeshinda mataji 28 ya Ligi na idadi ya vikombe vya nyumbani, na imeshiriki mara nyingi kwenye Ligi ya Mabingwa ya CAF.
Wameshinda Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara tano. Klabu hiyo ikawa ishara ya harakati za kupinga ukoloni.
Vijana hao wa Kiafrika walihusishwa na wazalendo na wapigania uhuru, na kukichochea chama cha siasa cha TANU kuchukua rangi ya manjano na kijani kama rangi zao kuu.
The post MATOKEO Yanga vs Singida Big Stars leo tarehe 06 January 2023 appeared first on Nijuze Mpya.
Post a Comment