MATOKEO Simba vs Mlandege FC January 03 2023
Simba Sports Club vs Mlandege Football Club Ligi Kuu, matokeo Simba vs Mlandege FC, Matokeo Simba vs Mlandege, Matokeo Simba Sports Club vs Mlandege fc, matokeo Simba SC vs Mlandege leo, matokeo Simba SC vs Mlandege FC leo, matokeo Simba sc vs Mlandege fc leo, live Simba vs Mlandege leo, LIVE Simba SC vs Mlandege FC.
- MABADILIKO ya ratiba Ligi Kuu ya NBC kuanzia raundi ya 20-30 2022/2023
- RATIBA ya Kombe la Mapinduzi 2023
- TETESI Usajili Ligi Kuu dirisha dogo la usajili 2022/2023
Klabu ya Simba SC itacheza mchezo unaofuata dhidi ya Mlandege FC ya Zanzibar tarehe 3 January 2023 kuanzia saa 2:15 Usiku.
Mechi hiyo itakuwa ya kwanza kwenye Michuano ya Kombe la Mapinduzi Visiwani Zanzibar mwaka huu 2023.
Mechi hiyo itakapoanza, utaweza kufuatilia Matokeo ya moja kwa moja ya Simba SC dhidi ya Mlandege FC, Msimamo Kundi C, Matokeo ya moja kwa moja na takwimu za mechi hiyo, dakika baada ya dakika.
Simba SC mechi ya awali ilikuwa dhidi ya Tanzania Prisons katika Ligi Kuu, mechi ilimalizika kwa matokeo 7 – 1 (Simba SC ilishinda mechi).
Mlandege FC ni klabu ya Soka kutoka Unguja ambacho inashiriki Ligi Kuu ya Zanzibar (Zanzibar Premier League) maarufu kama PBZ.
Ikiwa na mataji saba ya Ligi, ni klabu iliyofanikiwa zaidi katika historia ya Ligi hiyo pamoja na KMKM.
Klabu hii ilianzishwa mwaka wa 1970 na Jina lake kamili ni Mlandege Football Club Ilianzishwa 1970, Miaka 52 iliyopita.
Mlandege mechi zake za nyumbani inatumia Uwanja wa Amaan wenye uwezo wa kubeba waty 15,000.
Ni Mabingwa wa Ligi Ligi Kuu ya Zanzibar mwaka 2020.
Simba Sports Club ni klabu ya soka yenye maskani yake Mtaa wa Kariakoo, Dar es Salaam Tanzania, Ilianzishwa mwaka 1936.
Klabu ilikuwa na mabadiliko kadhaa ya majina kutoka Queens hadi Eagles, kisha, Sunderland.
Jina kamili Simba Sports Club, Ilianzishwa 1936, miaka 86 iliyopita, Simba mechi za nyumbani inatumia Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Jiji Dar es Salaam, Tanzania, Uwanja ambao una uwezo wa kubeba watu 60,000.
Wanachama wa klabu ya Simba wana asilimia 51 za umiliki wa Klabu hiyo na Mwekezaji Mohammed Dewji (MO) ana asilimia 49 ya hisa za klabu.
Simba ni Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara jwa msimu wa 2021-2022.
Simba SC imeshinda mataji 21 ya Ligi na vikombe vitano vya nyumbani, na imeshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika mara nyingi.
Pia ni moja ya vilabu vikubwa Afrika Mashariki, wakiwa wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita.
Mnamo 2022, Simba ilikuwa akaunti ya Instagram iliyokua kwa kasi zaidi kati ya vilabu vya soka, ikiwa na wafuasi milioni 1.9 na ukuaji wa 89% kutoka mwaka uliopita.
Klabu hiyo ni mojawapo ya matajiri zaidi Afrika Mashariki, ikiwa na jumla ya bajeti ya Sh 6.1 Bilioni (sawa na $5.3 milioni) iliyozinduliwa kwa msimu wa 2019/2020.
- MFAHAMU Feisal Salum Abdallah “Fei Toto”
- MAJINA ya waliochaguliwa Kujiunga na VETA Tanzania 2023
- NECTA Matokeo ya Darasa la Saba 2022/2023
- MAJINA ya Wanafunzi na Shule walizochaguliwa form one 2023
- Msimamo Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- Simba yapangwa kundi C CAF Champions League 2022/2023
- Yanga yapangwa kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.
Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.
The post MATOKEO Simba vs Mlandege FC January 03 2023 appeared first on Nijuze Mpya.
Post a Comment