MAJINA ya walioitwa kwenye usaili Uhamiaji 2023
Are you searchng for Majina walioitwa kwenye usaili jeshi la uhamiaji 2023, Call For Interview at Uhamiaji 2023, walioitwa kwenye usaili uhamiaji 2023, nafasi za kazi uhamiaji 2023 pdf, www uhamiaji tanzania, nafasi za ajira uhamiaji 2023.
- MATOKEO Yanga vs Ihefu 16 January 2023
- Wachezaji wapya waliosajiliwa Simba na Yanga dirisha dogo 2022/2023
walioitwa kwenye Interview uhamiaji 2023,Walioitwa kwenye usaili Uhamiaji Tanzania, Walioitwa kwenye usaili Idara ya Uhamiaji, MAJINA ya walioitwa kwenye usaili Uhamiaji 2023, Walioitwa kwenye usaili Uhamiaji Tanzania.
IDARA ya Uhamiaji inawatangazia vijana wafuatao waliotuma maombi ya nafasi za Ajira kupitia Ofisi ya Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, kufika kwenye usaili utakaofanyika katika Ukumbi wa Café Theatre 1 & 2 Ndaki (Faculty) ya Biashara na Uchumi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) siku ya Jumamosi tarehe 28 January, 2023 saa 1:00 kamili asubuhi.
Kwa wale waliotuma maombi kupitia Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar, wanatakiwa kufika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein uliopo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja siku ya Jumamosi tarehe 28 January, 2023 saa 1:00 asubuhi.
Waombaji wote wanatakiwa kufika na Vyeti halisi vya Kuzaliwa, Cheti cha Kidato cha Nne, Cheti cha Kidato cha Sita, Cheti cha Shahada, Cheti cha kuhitimu Mafunzo ya Awali ya Kijeshi kutoka JKT/JKU, Kitambulisho cha Taifa au Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA), Kalamu ya wino ya buluu, Vyeti vingine vya kuhitimu Mafunzo katika fani mbalimbali ngazi ya Astashada na Stashahada.
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI (UHAMIAJI) MWAKA 2023 KONSTEBO 500 DOWNLOAD PDF
Kwa waombaji ambao muundo wa fani zao unatakiwa kusajiliwa na Bodi za Taaluma, wanatakiwa kufika na Vyeti halisi vya Usajili pamoja na leseni za kufanyia kazi kwa fani husika.
Mara baada ya usaili wa awali kumalizika, Waombaji wa fani za Udereva, Ufundi wa Magari na TEHAMA wataendelea na Usaili kwa Vitendo siku inayofuata ya tarehe 29 January, 2023.
Aidha, wasailiwa wote wanatakiwa kujigharamia chakula, usafiri na malazi wakati wote wa zoezi la usaili.
- SIMBA yafunga Usajili na Mzanzibar
- Jean Baleke atua Simba SC
- Mamhadou Doumbia atua Yanga
- MATOKEO Simba vs CSKA Moscow Leo 15 January 2023
- CV ya Hemed Ismail Sawadogo Mchezaji wa Simba SC
- ISMAIL Sawadogo atua Simba SC
- CV ya Kennedy Musonda Mchezaji wa Yanga
- YANGA yamtambulisha Kennedy Musonda
- MATOKEO ya droo raundi ya 32 na 16 Bora ASFC 2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- NECTA: Matokeo ya Darasa la nne 2022/2023
- NECTA: Matokeo ya Kidato cha Pili 2022/2023
- TETESI Usajili Ligi Kuu dirisha dogo la usajili 2022/2023
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- Simba yapangwa kundi C CAF Champions League 2022/2023
- Yanga yapangwa kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.
Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.
The post MAJINA ya walioitwa kwenye usaili Uhamiaji 2023 appeared first on Nijuze Mpya.
Post a Comment