FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake

FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake

FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake

FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake, Tariffs za Azam Pesa, Contact Us Azam Pesa, About Azam Pesa, AZAMPESA How To Register and How To Use, Jinsi Ya Kujiunga na Azam Pesa, Azam pesa jinsi ya kujiunga, Kuwa wakala wa azam pesa, Azam pesa makato, Azam Pesa apk download.

FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake

FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake

AZAM Pesa ni nini? Azam Pesa ni huduma mpya ya kifedha nchini Tanzania.

Kampuni kubwa na iliyoenea katika nchi ya Tanzania pamoja na nchi jirani ‘Bakhresa Group’ imeleta sokoni huduma mpya ya kifedha ijulikanayo kama ‘Azam Pesa’.

Huduma hii ni kama zilivyo huduma nyinginezo za M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Halopesa and the like.

Ili kuielewa zaidi huduma hii, nitaenda katika mtindo wa Maswali na kisha majibu.

Je, Azam wameanzisha mtandao wao wa simu?
Hapana. Azam bado hawajaanzisha mtandao wao kama zilivyo kampuni kadhaa za mawasiliano hapa nchini.

Bali AzamPesa wameingia makubaliano na baadhi ya mitandao kwa ajili ya kuwezesha upatikanaji wa huduma kupitia line za mitandao hiyo.

Mpaka sasa AzamPesa wameshakubaliana na Tigo, Airtel na Zantel. Hivyo huduma hii inapatikana katika line za mitandao tajwa.

Download Azam Pesa, How to use Azam pesa App, Azam pesa ekyc, Azam Pesa logo, Azam pesa jinsi ya kujiunga, Kuwa wakala wa azam pesa, Azampesa Kujiunga, Code and App Download, azampesa-tariffs Makato ya Kutoa Pesa kwa Wakala wa Azam Pesa.

Vodacom, Halotel na mitandao mingine bado wapo kwenye mazungumzo. Watakapokubaliana basi huduma hii itawezeshwa katika line hizo.

Je, huduma hi inahusika
na nini?
Kama ilivyo huduma zingine, huduma hii inahusika na;
1.Kutuma Pesa
2.Kutoa Pesa
3.Kulipia bili
4.Kulipia bidhaa za Azam

Je, huduma hii imeanza kufanya kazi?
Ndiyo, huduma hii imeshaanza kufanya kazi kwa wateja wote waliosajiliwa.

Je, najiungaje na huduma hii?
Fika katika duka la wakala na uweze kusajiliwa. Kinachohitajika ni namba yako ya simu pamoja na namba yako ya NIDA. Ndani ya dakika mbili tayari utakuwa umeshasajiliwa kuwa mteja wa AzamPesa.

Ada za Wateja wa Azam Pesa ni za kishindani na nafuu zaidi nchini. Ukiwa na AzamPesa utaweza kupata thamani zaidi ya pesa.

Ada za Wateja wa Azam Pesa Tanzania

Ada za Wateja wa Azam Pesa Tanzania

Je, huduma naweza kupata vifurushi ‘bundles’ maalum vya Azam?

Hapana. Kama ambavyo nilijwishaeleza hapo juu kwamba Azam bado hawajaanzisha mtandao wao hivyo swala la vifurushi linabakia kuwa maamuzi ya mtandao husika.

Je, huduma hii naipata wapi?
Huduma hii inapatikana katika mikoa yote Tanzania. Ijapokuwa bado haijatapakaa kila mahali lakini upatikanaji wake katika maeneo mengi ya miji ni uhakika.

Je, menu ‘ussd’ ya AzamPesa ni ngapi?
Baada ya kusajiliwa, utabadili namba ya siri. Hivyo utabonyeza *150*08# na kuweza kupata huduma ya AzamPesa.

Azam pesa Kujiunga,Code Azam pesa App Download: AzamPesa Tanzania Limited (AZAMPESA.) is a company incorporated under the Companies Act, Cap 212 with its registered office, Plot No. 208, Oysterbay street, Haile Selassie Road Dar-es- Salaam Tanzania.

IJUE AZAMPESA TANZANIA

Rahisisha malipo

AzamPesa ni mtoa huduma wa pesa za kieletroniki ambaye hutumia pochi za kidijitali kuruhusu wateja wake kutuma na kupokea fedha, kufanya malipo ya bidhaa na huduma kama AzamTV, kununua tiketi za AzamFerry, malipo ya Serikali, MasterCard QR na kutoa pesa kutoka kwenye pochi zao.

AzamPesa inapatikana katika mitandao yote ya simu. Kama una simu janja unaweza kupakua App ya AzamPesa kupitia Google Playstore au App store kwa watumiaji wa iOS. AzamPesa pia inapatikana kiurahisi kwa kupiga *150*08# na utaweza kupata huduma zote.

azampesa.co.tz, https://azampesa.co.tz
Azam Pesa, kutumia azampesa, azam pesa apk download, azam pesa
makato, azam pesa jinsi ya kujiunga, download azam pesa, payments Azampesa, app ya Azampesa, Makato ya Kutoa Pesa kwa Wakala wa Azam Pesa.

Ukiwa na AzamPesa, bili zako zote na malipo yako yatafanyika katika sehemu moja, hivyo kukupatia urahisi zaidi na fedha zako.

AzamPesa inakuwezesha kulipia: AzamTV, tiketi za AzamFerry, LUKU, bili za maji, TRA, Pasipoti, huduma za Masterpass, malipo ya Serikali na mengine mengi.

BILI ZAKO SEHEMU MOJA

AzamPesa inakuwezesha kufanya miamala yako yote sehemu moja kiganjani mwako. Lipia bili zako zote kiurahisi kupitia App ya AzamPesa au piga *150*08#.

Msaada Saa 24/7

Azam Pesa ina timu ya huduma kwa wateja wanaofanya kazi kwa bidii na uaminifu.

Timu hii inapatikana saa 24 katika siku 7 za wiki. Piga 0800 785 555 bure.

Tumia Laini Yoyote

Huduma za AzamPesa zinapatikana kupitia mitandao yote ya simu. Pakua App yetu au ipate kwa kupiga *150*08#.

Malipo Kirahisi

Rahisisha maisha yako! Kwa miguso michache tu, utaweza kukidhi mahitaji yako yote ya kifedha kiganjani mwako.

SAJILI LINE YAKO SASA

Kupata huduma za AzamPesa, hauhitaji kununua line ya simu mpya.

Cha kufanya tembelea wakala yoyote wa
AzamPesa ukiwa na vitu vitatu:

1. Kitambulisho/namba ya NIDA
2. Namba yako ya simu & simu ya kiganjani
3. Kidole gumba kwaajili ya kusajilia

Kuvimba na AzamPesa ni pamoja na kuweza kutumia mkwanja wako wa AzamPesa kununua muda wa maongezi wa mtandao wowote ule.

Tumia App ya AzamPesa kununua muda wa maongezi wa mtandao wako sasa, ingia kwenye App kisha chagua ‘Muda wa maongezi’ uvimbe na AzamPesa.

Msaada zaidi tupigie bure 0800 785 555.

#AzamPesa #HudumazaKifalme #BeizaKizawa

Bili zote sasa tunazimaliza na AzamPesa.

1. Bofya *150*08#
2. Chagua 3 Lipia Bili
3. Chagua 3 MasterCard QR
4. Ingiza namba ya kumbukumbu kisha ukamilishe malipo yako

Au tumia App ya AzamPesa kisha chagua Mastercard QR kulipia bili yako na AzamPesa.

Hauhitaji laini nyingine kujisajili na AzamPesa!

Tumia laini yako hiyo hiyo kujisajili, wahi kwa wakala wetu karibu yako ujisajili na AzamPesa kisha pakua App yetu kutoka Google Playstore au App store uanze kuvimba na Huduma za Kifalme kwa Bei za Kizawa.

Kwa msaada tupigie 0800 785 555.

#AzamPesa #HudumazaKifalme #BeizaKizawa

Lipia kifurushi cha Azam TV cha Lite cha 8,000 Tsh kupitia AzamPesa uchukue buku lako papo hapo.

Piga *150*08# au tumia App ya AzamPesa leo kulipia kifurushi chako cha Azam TV.

#AzamPesa #HudumazaKifalme #BeizaKizawa

Fanya miamala yako yote kupitia AzamPesa ufurahie gharama nafuu
zaidi.

Piga *150*08# au tumia App ya AzamPesa kufanya miamala yako leo
ufurahie Huduma za Kifalme kwa Bei za Kizawa.

#AzamPesa #HudumazaKifalme #BeizaKizawa

Lipia kifurushi cha Azam TV cha 23,000 Tsh kupitia AzamPesa uchukue aftatu yako papo hapo.

Piga *150*08# au tumia App ya AzamPesa leo kulipia kifurushi chako cha Azam TV.

#AzamPesa #HudumazaKifalme #BeizaKizawa

Swala la kununua muda wa maongezi lisikupe stress! Tumia muamala wako uliopo AzamPesa kununua muda wa maongezi wa mtandao wowote ule.

Piga *150*08# kisha chagua namba 2 au tumia App ya AzamPesa kununua muda wa maongezi wa mtandao wako kirahisi.

#AzamPesa #HudumazaKifalme #BeizaKizawa

FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake

Kulipia kifurushi cha Azam TV kupitia App ya AzamPesa ni rahisi sana.

1. Fungua App ya AzamPesa
2. Chagua Huduma za Azam
3. Chagua Azam TV Vifurushi
4. Chagua kifurushi unachotaka kununua

Lipia kifurushi chako cha Azam TV cha Lite, Pure au Plus kwa wiki au kwa mwezi uchukue chako na AzamPesa chap kwa haraka.

#AzamPesa #HudumazaKifalme #BeizaKizawa

Kifurushi chako cha intaneti ya Smile au ZUKU kinakaribia kukata? Mpango mzima ni kuvimba na AzamPesa kwa kulipia kifurushi chako cha intaneti bila makato yoyote ya ziada.

Piga *150*08# au tumia App ya AzamPesa kufanya malipo ya kifurushi chako leo.

#AzamPesa #HudumazaKifalme #BeizaKizawa

Meseji ya Dawasa imeingia hapo? Lipia bili yako ya maji kupitia AzamPesa bila makato yoyote.

Piga *150*08# au tumia App ya AzamPesa kufanya malipo ya bili yako ya maji.

#AzamPesa #HudumazaKifalme #BeizaKizawa

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake appeared first on Nijuze Mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post