Bajeti ya Simba Sports Club Msimu wa 2022/2023
Bajeti ya Simba 2022/2023, Bajeti ya Simba SC 2022/2023, Bajeti ya Klabu ya Simba Sports Club 2022/2023, Bajeti ya Klabu ya Simba SC 2022/2023, Bajeti ya Simba Sports Club 2022/2023.
Wanachama wa Klabu ya Simba SC kwa pamoja wamepitisha bajeti ya tsh. Bilioni 13 kwa mwaka 2022/23.
MAPATO
-Wadhamini tsh. 3.9B
-M-Bet
-Vunja Bei
-Ligi ya Wanawake
-NBC Bank
-Emirates
-Haki za Matangazo ya TV
Azam TV Tsh. 2.85B.
-Haki za matangazo Ligi ya Wanawake Tsh. 410M.
-Mapato ya Viingilio vya Mlangoni Tsh 961.
-Kodi ya Jengo la Msimbazi 1.1B Ada za Wanachama 17M.
-Mo Dewji ameahidi 3.9B kwenye Bajeti hiyo ya Simba Sports Club 2022/2023
MATUMIZI:
-Usajili 2.45B
-Mishahara ya wachezaji na Wafanyakazi 4.8B
-Bonus 840M timu zote tatu (Senior team, Simba Queens na ya Vijana).
-Leseni na Vibali vya Makocha na Wachezaji wa Kigeni kuishi nchini 189M
-Kodi ya pango (Ofisi na Hosteli)578M
Hotel ndani na nje ya nchi 403M
-Usafiri ndani na nje ya nchi 874M
-Posho za Safari nje ya Nchi 102M
-Matengenezo ya Gari 26M
-Chakula 517M timu zote tatu (Senior team, Simba Queens na ya vijana).
-Marekebisho ya Uwanja 26M
Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam Tanzania, Founded in 1936, the club, which broke away from another Tanzania Giants, Dar Young Africans was named Queens, in honor of her Majesty, the Queen of England. The Club had several name changes from Queens to Eagles, then, Sunderland.
Founded in 1936, the club, which broke away from another Tanzania Giants, Dar Young Africans was named Queens, in honor of her Majesty, the Queen of England. The Club had several name changes from Queens to Eagles, then, Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for “Lion”).
Simba SC have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Simba play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium. In 2022, Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.
The club is one of the richest in East Africa, with a total budget of Sh 6.1 Billion (equivalent to $5.3 million) unveiled for the 2019/2020 season.
- Timu zilizofuzu hatua ya 16 Bora Azam Sports Federation Cup 2022/2023
- MABADILIKO ya tarehe Simba vs Yanga, tazama mabadiliko mengine hapa
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- NECTA: Matokeo ya Darasa la nne 2022/2023
- NECTA: Matokeo ya Kidato cha Pili 2022/2023
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- Simba yapangwa kundi C CAF Champions League 2022/2023
- Yanga yapangwa kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.
The post Bajeti ya Simba Sports Club Msimu wa 2022/2023 appeared first on Nijuze Mpya.
Post a Comment