YANGA kukaa meza moja na Feisal Salum

YANGA kukaa meza moja na Feisal Salum

YANGA kukaa meza moja na Feisal Salum

Yanga kuzungumza na Feisal Salum, Feisal Salum Abdallah kurejea Yanga, Yanga kukaa meza moja na Feisal Salum, Yanga vs Feisal Salum, Yanga kuongea na Feisal, Yanga kuboresha mkataba wa Feisal Salum, Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto, Feisal Salum Yanga SC, Usajili wa Feisal Salum Yanga.

YANGA kukaa meza moja na Feisal Salum

YANGA kukaa meza moja na Feisal Salum

Rais wa Klabu ya Yanga Injinia Hersi Said amesema kuwa watahakikisha hakuna mchezaji mzuri ataondoka katika Klabu hiyo yenye makazi yake Mtaa wa Jangwani Jijini Dar es Salaam.

Hersi amesema kuwa wanaendelea na michakato kuwaongezea mikataba wachezaji ambao mikataba yao imebakiza muda mfupi.

Akizungumza kuhusu suala ya kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’, Injinia Hersi amesema kiungo huyo fundi ataendelea kuitumikia Yanga kwa kuwa bado ana mkataba wa muda mrefu.

YANGA kukaa meza moja na Feisal Salum

YANGA kukaa meza moja na Feisal Salum

Amesema kama uongozi jukumu lao la kwanza ni kuhakikisha wachezaji wao wazuri hawaondoki.

Ameongeza kuwa uongozi utakaa nae chini kuboresha mkataba wake ili aendelea kuitumikia klabu hiyo.

“Nataka niwahakikishie. Hakuna mchezaji mzuri ambaye ataondoka katika klabu ya Yanga, tufute hiyo kwenye akili zetu”

“Feisal ataendelea kusalia Yanga na tutakaa nae kwa ajili ya kuboresha na kuongeza mkataba wake sio msimu huu ila 2024 baada ya mkataba wake kumalizika”

“Feisal ni mchezaji muhimu kwetu, hakuna uwezekano wa yeye kuondoka. Hilo hatutakubali. Hatusemi hivyo kwa sababu tunataka kutumia nguvu ili abaki, ni kwa sababu tunayo NEGOTIATION POWER.

“Amefanya vizuri akiwa na sisi na sisi lazima tumpe thamani anayostahili”

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2022, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2022.

The post YANGA kukaa meza moja na Feisal Salum appeared first on Nijuze Mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post