TETESI za Usajili Simba dirisha dogo 2022/2023

TETESI za Usajili Simba dirisha dogo 2022/2023

TETESI za Usajili Simba dirisha dogo 2022/2023

Tetesi za Usajili Simba Sports Club, tetesi za Usajili Simba SC, tetesi za Usajili Simba, tetesi za Usajili Simba Sc 2022/2023, tetesi za Usajili NBC Premier League 2022/2023, tetesi za Usajili Tanzania.

TETESI za Usajili Simba dirisha dogo 2022/2023

TETESI za Usajili Simba dirisha dogo 2022/2023

tetesi za Usajili Ligi Kuu, tetesi za Usajili Ligi Kuu ya Tanzania, dondoo za Usajili NBC Premier League 2022/2023, dondoo za Usajili Simba SC, Usajili Msimbazi, Usajili Simba SC, Usajili Simba Sports Club, Usajili Simba Tanzania.

Dirisha dogo la Usajili kwa timu za Ligi Kuu, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake 2022/2023, limefunguliwa rasmi leo Ijumaa December 16 2022.

Na linatarajiwa kufungwa January 15 2023 ambapo klabu zinapaswa kukamilisha usajili pamoja na uhamisho wa wachezaji wa Kimataifa, kwani baada ya dirisha kufungwa January 15 hakutakuwa na muda wa ziada.

Kwa upande wa Wanasimba wao wanasubiri kuona Maboresho yanayokwenda kufanyika kwa lengo kuimarisha kikosi chao katika maeneo yenye mapungufu.

Juzi tu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Salim Abdallah ‘Try Again’ aliweka msisitizo kuwa wanakwenda kuboresha kikosi kwa kuongeza wachezaji bora katika maeneo yenye changamoto.

Klabu hiyo ina malengo Makubwa msimu huu wa 2022/2024 ambayo ni kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu, Kombe la FA pamoja na kuvuka hatua ya robo Fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League)

nijuzehabari imepata taarifa ya kwamba muda wowote wachezaji waliosajiliwa klabuni hapo wataanza kutambulishwa kwa Wanachama na Mashabeki wa Klabu hiyo yenye makazi yake Mtaa wa Msimbazi Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Wachezaji ambao Nijuze Habari imepata taarifa kuwa tayari wamemaliza nao ni kiungo Mshambuliaji raia wa Burundi mwenye umri wa miaka 35, Saido Ntibazonkiza kutoka Geita Gold ya mkoani Geita.

Mwingine ni Mshambuliaji wa zamani wa Vipers SC ya Uganda raia wa Afrika ya kati mwenye asili ya DR Congo Cesar Lobi Manzoki mwenye umri wa miaka 26 Kutoka Dalian Professional ya Ligi Kuu ya Uchina (Chinese Super League)

Nijuze Habari pia inafahamu kuwa Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya kuachana na kiungo wao Mnigeria Victar Patrick Akpan mwenye umri wa miaka 24.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari.

The post TETESI za Usajili Simba dirisha dogo 2022/2023 appeared first on Nijuze Mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post