Mpole atimkia DR Congo

Mpole atimkia DR Congo

Mpole atimkia DR Congo

George Mpole atua DR Congo, George Mpole atua FC Lupopo, George Aman Mpole asajiliwa DR Congo, George Mpole FC Lupopo DR Congo, FC Saint-Éloi Lupopo Lubumbashi DR Congo, DR Congo FC Lupopo, George Mpole FC Saint-Éloi Lupopo Lubumbashi DR Congo.

Mpole atimkia DR Congo

Mpole atimkia DR Congo

Aliyekuwa Mshambuliaji Bora wa NBC Premier League kwa msimu uliopita wa 2021/2022, George Aman Mpole ametua DR Congo kwaajili ya kukamilisha usajili na Klabu ya FC Lupopo ya nchini humo.

Hiyo ni baada ya kuvunjwa mkataba wake na klabu ya Geita Gold ya Geita kwa kununua mkataba wake uliosalia.

Aidha FC Lupopo ilikuwa ikisaka mshambuliaji mzuri kati ya George Mpole na Reliant Lusajo na wakaamua kwenda na Mpole.

Mpole aliondoka nchini juzi ambapo jana alikutana kwa mara ya kwanza na uongozi wa FC Lupopo kwaajili ya kukamilisha usajili huo.

Inaelezwa kuwa Mpole atakuwa analipwa kiasi cha Dola 12,000 kwa mwezi sawa na (Sh27.6 milioni za Tanzania), akipewa nyumba na gari ya kutembelea.

About Football Club Saint-Éloi Lupopo

FC Saint-Éloi Lupopo is a Congolese football club based in Lubumbashi. Their home games are played at Stade Kibassa Maliba.

Full name: Football Club Saint-Éloi Lupopo
Nickname(s): Les Cheminots (The Railmen)
Founded: 1939; 83 years ago
Ground: Stade Kibassa Maliba, Lubumbashi
Capacity: 35,000
Chairman: Jacques Kyabula Katwe
Manager: Christian Bracconi
League: Linafoot

During a match with TP Mazembe in 2011, 14 people were killed during a stampede after spectators invaded the pitch as TP Mazembe equalized the score.

Most famous player: Pierre Mwana Kasongo who also played for Daring Faucons (Motema Pembe), was the first African player to become the top scorer in Belgium as he played for CS vervietois in 1962-63.

He also played for ARA La Gantoise in Belgium. Mwana Kasongo successfully managed St Eloi Lupopo, TP Mazembe, Ruwenzori Natioanal, Makiso, Nika, Bilombe, and Sanga Balende, as well as the Leopards du Zaire.

He was the first Congolese to be qualified as a Manager from the Academie Francaise de Football in France. He died on 13 January 1986 as he was managing St Eloi Lupopo.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffid dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari.

The post Mpole atimkia DR Congo appeared first on Nijuze Mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post