MAKUNDI na Ratiba ya Kombe la Mapinduzi 2023

MAKUNDI na Ratiba ya Kombe la Mapinduzi 2023

MAKUNDI na Ratiba ya Kombe la Mapinduzi 2023

MAKUNDI na Ratiba ya Kombe la Mapinduzi 2023, Mapinduzi Cup 2023, Kombe la Mapinduzi 2023, Kombe la Mapinduzi Zanzibar, Mapinduzi Cup 2023 Zanzibar, timu zikakazoshiriki Mapinduzi Cup 2023,

MAKUNDI na Ratiba ya Kombe la Mapinduzi 2023

MAKUNDI na Ratiba ya Kombe la Mapinduzi 2023

Timu zitakazoshiriki Kombe la Mapinduzi 2023, Makundi ya Kombe la Mapinduzi, Makundi Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar, Ratiba Mapinduzi Cup 2023.

MABINGWA watetezi wa Kombe la Mapinduzi, Simba SC wamepangwa Kundi C pamoja na Mlandege na KVZ michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi January 01 hadi 13, 2023.

Kwa upande wao, Yanga SC wao wamepangwa Kundi B pamoja na Singida Big Stars na wenyeji, KMKM ambao pia ni mabingwa wa Ligi Kuu ya Zanzibar kama ilivyo kwa Yanga kwa Tanzania Bara.

Kundi A linaundwa na Azam FC, wenyeji, Malindi SC na Jamhuri FC ya Pemba, huku Kundi D likiwa na Namungo FC, Aigle Noir ya Burundi na Chipukizi ya Pemba.

👉Group A
1:Azam FC
2:Jamhuri FC
3:Malindi SC

👉Group B
1:Yanga SC
2:KMKM
3:Singida Big Stars

👉Group C
1:Simba SC
2:KVZ
3:Mlandege

👉Group D
1:Namungo FC
2:Aigle Noir
3:Chipukizi

ratiba ya Mapinduzi Cup 2023, Ratiba Kombe la Mapinduzi Zanzibar, ratiba ya Mapinduzi Cup 2023, Yanga Kushiriki Mapinduzi Cup 2023, Simba Kushiriki Mapinduzi Cup 2023, Azam FC Kushiriki Mapinduzi Cup 2023, Namungo FC Kushiriki Mapinduzi Cup 2023, Singida Big Stars Kushiriki Mapinduzi Cup 2023.

Ratiba Kombe La Mapinduzi 2023.

👉Januari 01, 2023
16:15 Mlandege vs KVS
20:15 Malindi SC vs Jamhuri

👉January 02, 2023
16:15 Namungo vs Chipukizi
20:15 Singida Big Stars vs KMKM

👉 January 03,2023
16:15 Azam FC vs Malindi SC
20:15 Simba SC vs Mlandege

👉 January 04, 2023
16:15 Chipukizi v Aigle Noir
20:15 Yanga SC vs KMKM

👉 January 05, 2023
16:15 Jamhuri vs Azam FC
20:15 KVZ vs Simba SC

👉 January 06, 2023
16:15 Namungo v Aigle Noir
20:15 Yanga SC vs Singida Big Stars

👉 January 08, 2023
2015: Nusu Fainali ya kwanza

👉 January 09, 2023
20:15 Nusu Fainali ya Pili 2

👉January 13,2023
20:15 Fainali

ratiba ya Azam Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Simba SC Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Yanga SC Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Singida Big Stars Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Fainali Mapinduzi Cup 2023, ratiba Mapinduzi Cup Zanzibar.

Aidha Nusu Fainali ya kwanza itazikutanisha kinara wa Kundi A dhidi ya kinara wa Kundi B na Nusu Fainali ya pili ni kinara wa Kundi C dhidi ya kinara wa Kundi D.

Michezo yote hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa Amaan, Mjini Unguja Visiwani Zanzibar.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari.

The post MAKUNDI na Ratiba ya Kombe la Mapinduzi 2023 appeared first on Nijuze Mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post