MAJINA ya waliochaguliwa Kujiunga na VETA 2023

Waliochaguliwa Kujiunga na vyuo vya VETA 2023

MAJINA ya waliochaguliwa Kujiunga na VETA 2023

Waliochaguliwa Kujiunga na VETA 2023, waliochaguliwa Kujiunga na VETA nchini Tanzania, waliochaguliwa Kujiunga na VETA Tanzania 2023, Wanachuo waliochaguliwa Kujiunga na VETA 2023,kVETA Tanzania.

Waliochaguliwa Kujiunga na vyuo vya VETA 2023

Waliochaguliwa Kujiunga na vyuo vya VETA 2023

WANACHUO WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA VETA KWA MUHULA WA MASOMO UNAOANZA MWEZI JANUARY, 2023

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inapenda kuutangazia Umma kuwa Uchaguzi wa Wanachuo wanaotarajia kujiunga na Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kwenye vyuo vya VETA kwa muhula unaoanza January, 2023 umekamilika.

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWA MWAKA WA 2023

Kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi katika vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa mwaka wa 2023 bonyeza hapa chini👇👇👇

DOWNLOAD PDF Majina ya waliochaguliwa Kujiunga na VETA 2023

Pia orodha hiyo ya wanachuo waliochaguliwa na fomu za kujiunga na vyuo husika zinapatikana kwenye tovuti ya VETA www.veta.go.tz na kwenye vyuo vyote vya VETA nchini kuanzia
sasa.

Masomo yataanza tarehe 16 January, 2023.

Tangazo hili limetolewa na Mkurugenzi Mkuu
Tarehe 20 Desemba, 2022.

UFUNDI STADI KWA AJIRA NA MAENDELEO YA VIWANDA
VETA MAKAO MAKUU
Kiwanja Na. 18, Central Business Park (CBP)
+255 755 267 489
S. L. P. 802,
DODOMA.
VETA f

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari.

The post MAJINA ya waliochaguliwa Kujiunga na VETA 2023 appeared first on Nijuze Mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post