DROO ya Makundi Ligi ya Mabingwa na Shirikisho kufanyika December 12 2022

DROO ya Makundi Ligi ya Mabingwa na Shirikisho kufanyika December 12 2022

DROO ya Makundi Ligi ya Mabingwa na Shirikisho kufanyika December 12 2022

Droo ya Kombe la Shirikisho, Droo ya CAF Confederation Cup kufanya December 12 2022, Droo ya CAF TotalEnergies kufanyika Jumatatu December 12, 2022, Droo ya CAF, Droo ya CAF Confederation Cup 2022, Droo ya Kombe la Shirikisho Afrika 2022.

KOMBE la Dunia LIVE Kwenye Nijuze Habari APP

Matokeo Namungo vs Yanga December 07 2022

Msimamo Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023

WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2024

DROO ya Makundi Ligi ya Mabingwa na Shirikisho kufanyika December 12 2022

DROO ya Makundi Ligi ya Mabingwa na Shirikisho kufanyika December 12 2022

SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza tarehe mpya ya kupanga Makundi ya michango ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na Kombe la Shirikisho.

Kulingana na taarifa iliyotolewa na CAF, droo hizo zitafanyika December 12 Mjini Cairo, Misri.

Droo ya Klabu Bingwa Afrika 2022, Droo ya CAF Champions League kufanya December 12 2022, Droo ya CAF TotalEnergies kufanyika Jumatatu December 12, 2022, Droo ya CAF, Droo ya CAF Champions League 2022, Droo ya CAF Champions League Afrika 2022, Droo ya CAF Champions League 2022/2023.

Droo ya kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) itafanyika kuanzia saa nane mchana na kufuatiwa na droo ya Ligi ya Mabingwa (CAF Champions League) saa tisa.

Hizi ni timu 16 zilizofuzu Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2022/2023)

1:Al Ahly – Egypt
2:Al Hilal – Sudan
3:Al Merrikh SC – Sudan
4:Atletico Petroleos – Angola
5:Coton Sport – Cameroon
6:CR Belouizdad – Algeria
7:Esperance Tunis – Tunisia
8:Horoya – Guinea
9:JS Kabylie – Algeria
10:Mamelodi Sundowns – South Africa
11:Raja CA – Morocco
12:Simba SC – Tanzania
13:Vipers SC – Uganda
14:Wydad AC – Morocco
15:Zamalek – Egypt
16:AS Vita Club – DR Congo

Timu ambazo Yanga inaweza kukutana nazo CAF Confederation Cup 2022/2023, Wapinzani wa Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023, Timu zitakazokutana na Yanga SC Kombe la Shirikisho 2022/2023, CAF Confederation Cup 2022/2023, Makundi ya CAF Confederation Cup, Makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika 2022/2023.

Hizi ni timu 16 zilizofuzu Kombe la Shirikisho (CAF Confederation League 2022/2023)

1:ASKO de Kara – Togo
2:DC Motema Pembe – DR Congo
3:Pyramids FC – Egypt
4:Rivers United – Nigeria
5:Al Akhdar SC – Libya
6:Diables Noirs – Congo
7:TP Mazembe – DR Congo
8:ASFAR Club – Morocco
9:FC Saint Éloi Lupopo – DR Congo
10:US Monastir – Tunisia
11:AS Real Bamako – Mali
12:Future FC – Egypt
13:USM Alger – Algeria
14:ASEC Mimosas – Ivory Coast
15:Marumo Gallants – South Africa
16:Young Africans – Tanzania

Timu ambazo Simba inaweza kukutana nazo CAF Champions League 2022/2023, Wapinzani wa Simba CAF Champions League 2022/2023, Timu zitakazokutana na Simba SC CAF Champions League 2022/2023, CAF Droo ya CAF Champions League 2022/2023, Makundi ya CAF Champions League, Makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika 2022/2023.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

The post DROO ya Makundi Ligi ya Mabingwa na Shirikisho kufanyika December 12 2022 appeared first on Nijuze Mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post